Mnyakyusa5000
Member
- Sep 21, 2021
- 83
- 136
Kama huna hela basis ujue muda wako wa kuingia kwenye mahusiano bado..subiri kidogo ukue. Na kiukweli huwezi kusema unampenda mtu ambae humuudumii. PERIOD.Kwahyo unataka kusema kua ukiwa huna hela huna haki ya kupendwa na kupenda?
Katibu unazingua
Urimoraaa?
Huna hela ya kumuudumia mtu unaempenda. Kama unayo basi ungeshakuwa nae..Mimi nina hela ila mpenzi sina
Sijui niunge mkono hoja au nikatae?
Wanakuja wakuchamba
Inategemea.
kuwa na hela ya kumuhudumia ndio kitu cha kwanza na muhimu..hayo mengine ni small adjustments.. but huduma ya kifedha ni main THINGWanawake wanaweza kukuchukia kwa sababu uko busy sana na kazi na vilevile wakakuchukia sababu huna kazi
Unaweza ukawa na kibunda/kipato kingi cha kumuhudumia atakavyo lakini akaenda 'akaliwa' na shamba boy kwa sababu wewe ulikuwa busy kusaka hela muda huo ambao yeye anakuhitaji
Mapenzi hayana formula mkuu, wapo wakubwa wenye hela zao lakini wanachapiwa/wanagongewa vizuri tu na vijana wasio na hela
izo ndo tunaita siasa za mapenzi..nimesema ni lazima umhudumie umpendaye kwa kutumia fedha yako..maandiko yanasema "hadhina yako ilipo ndio na moyo wako ulipo."Wanawake wanaweza kukuchukia kwa sababu uko busy sana na kazi na vilevile wakakuchukia sababu huna kazi