Ukweli mchungu

Ukweli mchungu

Kumhudumia mwanamke ni vitu gani tuanzie Hapo kwanza..?
Ukweli unasema: "kama hauna kipato au fedha za kumuhudumia mwanamke uliyenae kwenye mahusiano" hausemi huduma nyingine zisizohusu kipato au fedha ambazo hata ng'ombe anauwezo wa kuzitoa.
 
Kama hauna kipato au fedha za kumhudumia mwanamke uliyenae kwenye mahusiano basi ujue:

1. Muda wako wa kuwa kwenye mahusiano haujafika.

2. Hauna mapenzi ya kweli kwa huyo mdada.

3. Unaendeshwa na hisia zako za kimwili na siyo upendo.

4. (1,2,3) yote kwa pamoja
Watapinga japo wanasema

1. Mapenzi ni hisia
2.kuna wanaosema mapenzi ni vitu(pesa n.k)
3.wapo wanaokubaliana mapenzi vi vitendo/matendo
4.mapenzi ni muonekano

Ukirejea 1. Mapenzi hisia bhas hayo mengine yote huingia humo,kama ni hisia bhas utafanya ya kumjali uliyenaye na kama ni mwanaume bhas utatoa vitu(pesa n.k),vitendo na hii hata mwanamke mwenyewe ajifanyaje namna gani vipi siku ukikosa,ukishindwa kutekeleza uliyokuwa unafanya yaan ufulie una asilimia kubwa za kumkosa sababu ya mambo uliyomjengea kwenye ubongo wake na vile si wavumilivu šŸ™ŒšŸ»

…..
 
Kama hauna kipato au fedha za kumhudumia mwanamke uliyenae kwenye mahusiano basi ujue:

1. Muda wako wa kuwa kwenye mahusiano haujafika.

2. Hauna mapenzi ya kweli kwa huyo mdada.

3. Unaendeshwa na hisia zako za kimwili na siyo upendo.

4. (1,2,3) yote kwa pamoja
Hujielewi wewe
 
Ili kuupata ukweli,tumuulize Emmanuel Mgaya/Masanja.
 
kuwa na hela ya kumuhudumia ndio kitu cha kwanza na muhimu..hayo mengine ni small adjustments.. but huduma ya kifedha ni main THING
hapo kwenye small adjustment wahuni ndio wanapita nae wakati wewe ukiwa busy kuitafuta hiyo hela na muda wa kuwa nae karibu huna
 
Afu

izo ndo tunaita siasa za mapenzi..nimesema ni lazima umhudumie umpendaye kwa kutumia fedha yako..maandiko yanasema "hadhina yako ilipo ndio na moyo wako ulipo."
Sawa, ila sio kila hela yako inamuhudumia yeye, kuna wengine wanahudumia kisiri siri wewe hujui bro.. shtuka
 
Back
Top Bottom