Ukweli Mchungu

Acha kumsengenya shangazi yangu. Anatoa milioni tano sadaka ya ujenzi, wewe huna ada ya law school, ukimwomba anasema umechelewa kidogo tu, jana nimetoa hela ya ujenzi wa kanisa mil tano. Sina hela
Shangazi anasema ndo nimetoka kununua kiwanja Cha million 20 Jana hall Sina kitu. Kesho anajisahau anakwambia unajua Jana nimeuza ile nyumba yangu Kule mbezi nimepata faida million 30 🤣🤣🤣
 
Shangazi anasema ndo nimetoka kununua kiwanja Cha million 20 Jana hall Sina kitu. Kesho anajisahau anakwambia unajua Jana nimeuza ile nyumba yangu Kule mbezi nimepata faida million 30 🤣🤣🤣
Mchawi huyo mtu
 
Shangazi anasema ndo nimetoka kununua kiwanja Cha million 20 Jana hall Sina kitu. Kesho anajisahau anakwambia unajua Jana nimeuza ile nyumba yangu Kule mbezi nimepata faida million 30 🤣🤣🤣
Yaani we acha tu
 
3, 9 na 10 ndio hali halisi ya maisha ingawaje ukweli mchungu
 
Yap..
Wanasemaga mafanikio yote huanzia rohoni
 
Matumizi mabaya ya fedha za umma, kwanini samia aliunda kikosi kazi?
 
Hii nchi ivi wananchi hawa viongozi wanatuonaje nchi Ina watu Wana maisha magumu alafu viongozi wanafanya mambo ya namna hii kweli?
Sijui nani aliyesema ccm ndio chanzo cha matatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…