Ukweli mkali: Yatokeayo sasa Bungeni na kwingineko ni 'laana' ya uchaguzi mkuu wa 2020

Halafu usikute wanaojifanya kuuponda ushoga ndio mashoga wenyewe.
Maana hakuna mahali popote Lissu alisema ataruhusu ushoga ila alisema sio kazi ya serikali kuanza kuchungulia kwenye vyumba vya watu au guest na kujua eti yule anafanya mapenzi kinyume cha maumbile hiyo sio kazi ya serikali.

Kwani mpaka sasa serikali haijaruhusu ushoga lakini mashoga mbona wapo?
 
Inawezekana humu kuna "CHETI FAKE MMOJA, ANA ID KIBAO"
 
Wanaowaingilia wenzao kinyume na maumbile, wanaowaingiliwa na wote wanaopenda miziki au scenes zinazotukuza makalio wote ni mashoga!
Wanaopenda nyeto na wanaosisimka wakiona watu wa jinsia yao wote ni mashoga!

Ushoga upo sana kwenye jamii...
 
kwakweli nimesikitishwa hasa na mbunge aliyetaka kuruka sarakasi ni uzembe na utoto.Hata mi ningekuwa bungeni ningemzidi namna ya kuwasilisha hoja.
 
Mara tunasikia diwani kapotea kwa kimada
 
Tena makonda alivyowachokoza serikali ya ccm ikamkana🤣
 
Utawala huu ni mazao ya matendo haramu. Kamwe wataendelea kuparanganyika na kutoelewana.
 
Bunge lingevunjwa tu Samia amalizie miaka 4 bila bunge maana halijawahi kuwa na impact chanja Katika jamii hata siku moja zaidi ya kumaliza pesa ya serikali.
Law of KARMA
 
Umekuwa msimamo wangu popote ninaposema au kuandika kuwa mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi mkuu. Kulikuwa na uchafuzi mkuu wa Tanzania.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Masasi, Mtwara)
Kiukweli watu mna macho lakini hamuoni, mna masikio lakini hamsikii!. Soma tarehe ya bandiko hili Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Humo nilisema

kipi hapo ambacho kilikuwa hakijulikani?.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…