Ukweli mtupu: Rais Magufuli anafanana sana kitabia na aliyekuwa Rais wa Kenya marehemu Daniel Arap Moi

Kumbuka Moi aliingizwa madarakani na watu waliokuwa na maslahi binafsi huku wengine wakimpinga vibaya sana kuwa hakustahili na hakuwa na uwezo. Ndiyo kusema hakuwa salama na wale waliomweka madarakani walitumia njia halali na haramu kumhami.
 
Mbona Mbowe anatoka na demu wake Lucy mukya kwenda kula bata marekani kwa pesa ya ruzuku? Huo sio ufisadi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri maendeleo ni kujenga nyumba za serikali tu? Ivi kuhamia dodoma kunaendana sambamba na social services kama misikiti, makanisa,masoko, shule, Mahal pa kuzikia ? Kweli mitanzania mizuzu? Dah kwahyo kujenga nyumba tu umemalizaa?
Nenda Mji Wa Serikali Mtumba Ukajionee [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulivyoelezea utafikiri ulikuwa mkubwa enzi za Moi. Kumbe umenidanganya eeh ? Sikupi pipi.
 
Na yeye atakufa pia muda wake ukifika kama sisi wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah. Nakumbuka wakati moi alikuwa rais, taarifa ya habari ya KBC ikisomwa lazima habari ya kwanza iwe ya kwake na lazima weseme 'mtukufu rais daniel arap moi.......' . Hii ni lazima, hata jumapili akienda kanisani lazima waanze na hiyo habari. Duh huyu mwamba noma. Ila namkumbuka huyu mwamba kwenye maziwa. Wanafunzi wa primary kenya nzima walikuwa wanakunywa maziwa fresh kila siku wakati wa mapuumziko. RIP DAM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hii sentence ya hapendi kukosolewa mnaitoaga wapi. Mbona mnapenda sana kumtungia maneno JPM. Dalili ya kushindwa. Mmekuwa watu wa matukio na matungo. Aibu Kubwa.
 
Hii sentence ya hapendi kukosolewa mnaitoaga wapi. Mbona mnapenda sana kumtungia maneno JPM. Dalili ya kushindwa. Mmekuwa watu wa matukio na matungo. Aibu Kubwa.
Kwani uongo? Jamaa yenu anapenda kusifiwa tu, ukimkosoa yanakukuta ya Lissu, Bensaa8, kina Azory n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Moi hakuwa kiongozi wa kiimla alikuwa disciplinarian.
2. Moi hakuigiza kupenda wanyonge aliwapenda kweli na aliwajengea shule na hospitali kila wilaya na kata.
3. Aliongoza chama kimoja lazima ilikuwa asimamie katiba aliyo hapa kuilinda.
4. Vyombo vya habari vingi vilimilikiwa na mafia wa mlima Kenya kwa hivyo vilitumika ipasavyo kumchafua moi.
5. Moi aliibua watoto wa wanyonge kuwa viongozi mfn: Moses wetangula, Kalonzo Mosyoka, Moses Mudavadi, William Ruto, Cyrus Jirongo, Prof. George Saitoti
6. Magufuli siyo dikteta amerudisha order katika nchi huko nyuma kuna watu walizuia hata maji ya mto na kutoza wengine fedha na hakuwajibishwa kipindi cha JPM wamenyooka. Kuna waliokuwa wakichochea migongano kati ya wakulima na wafugaji leo hawapo, kuna waliokuwa wa kinyanganya watu wapenzi wao kwenye bar kwa kutumia fedha haramu leo hawapo, waliokuwa na vyeti feki leo hawapo.
7. Pamoja na dosari ndogo ndogo inayofanywa wateule kama Kangi Lugora Magufuli yeye ni kiongozi bora disciplinarian na siyo dikteta.Tutofautishe mtunza nidhamu na dikteta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…