Ukweli mtupu: Rais Magufuli anafanana sana kitabia na aliyekuwa Rais wa Kenya marehemu Daniel Arap Moi

Kuna mengine muhimu sana umesahau, kununua wapinzani na wanaharakati wenye fikra kinzani, kuthibiti mhimili wa mahakama na kukandamiza vyombo vya habari.
 
sakata la ngungi wa thion'go kuhamia uhamishoni linashabiriana biriana na haya ya kina ngurumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…