Umuzukuru
JF-Expert Member
- May 30, 2019
- 617
- 552
Katika pita pita na hawa watu wa jinsi ya upande wa pili yaani wanawake, warembo, vigori, mademu ati wanaita kuna hali flani hivi ya kweli...ni kuwa
Unapomtongoza mrembo ambaye humvutii kabisa ona the first point atakataa au atakwambia anaenda kufikiria hapo maana yake hujamvutia na jibu lake kichwani ni "hapana
Sasa katika hali hiihii ya kwamba hujamvutia,inapotokea umemtongoza na una vihela vya hapa na pale yaani mfuko uko na kitu licha ya kwamba hujamshawishi lakini jibu utakalopewa mwanzoni kabisa ni yes ndio nk
Hivi hizi hela zina nini wakuu😂😂