D DERICK MWESIGA New Member Joined Jan 20, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Apr 20, 2013 #1 Hivi ukweli na haki (truth and justice) vinaeliwekaje katika fani ya sheria? Hivi katika mahakama hasa mahakama za tanzania kuna haki kweli au basi ndo mkubwa mpishe apite? Naomba maelezo na hoja za kitaalam tafadhali.
Hivi ukweli na haki (truth and justice) vinaeliwekaje katika fani ya sheria? Hivi katika mahakama hasa mahakama za tanzania kuna haki kweli au basi ndo mkubwa mpishe apite? Naomba maelezo na hoja za kitaalam tafadhali.