DERICK MWESIGA
New Member
- Jan 20, 2013
- 1
- 0
Hivi ukweli na haki (truth and justice) vinaeliwekaje katika fani ya sheria? Hivi katika mahakama hasa mahakama za tanzania kuna haki kweli au basi ndo mkubwa mpishe apite?
Naomba maelezo na hoja za kitaalam tafadhali.
Naomba maelezo na hoja za kitaalam tafadhali.