HLSSF ni NGO iliyoanzishwa kwa kujitolea.Sisi tuliguswa na matatizo mbalimbali yanayowapata wanafunzi kutokana na uhaba wa pesa ya kulipia gharama za kusoma pamoja na mahitaji mengine.Mbali na swala la kuwataafutia ufadhili wanafunzi wa elimu ya juu;tunazo objectives nyingine ambazo tumeruhusiwa kwenye usajiri wetu kuzifanya.Kikubwa ni kwamba wanafunzi tunaomba muelewe ni kwa jinsi gani NGOs zote huwa zinafanya kazi zake.Si hajabu wengi wenu hamjui hata maana ya NGO kwa undani wake ni nini?
Kuhusu programu ya kutoa mikopo kwa wanafunzi kwa mwaka huu ni kwamba:Sisi tunapokea maombi yako wewe mwanafunzi;ambaye unataka mkopo wa kusoma elimu ya juu;then tunapitia applications zako kwa undani.Tukijiridhisha tunakuingiza kwenye list ya wale applicants ambao tunawaombea pesa kutoka kwa wafadhili wetu.Hatuwezi kumuhakikishai mwanfunzi kumpa ufadhili/mkopo bila ya kuwa ameleta application yake kwetu.
Chanzo ya kwanza cha pesa za kuwapa wanafunzi ni pesa za wafadhili na wahisani wetu;kama ilivyo NGO yeyote popote duniani.Lakini ili mfadhili wetu haweze kutoa pesa kwa kujiridhisha kuwa kweli kuna watu wanauhitaji wa kupewa support ya mkopo;ni lazima uwe umeleta maombi yako rasmi kwa kujaza fomu husika;hizi fomu ndicho kielelezo cha kwanza au first evidence kuwa kweli wewe unahitaji hizo pesa na unashida kweli.
Basi nawaomba vijana wenzangu muelewe hili na muwe na subira ili pindi tu majibu ya maombi yenu kupitia proposals zetu tulizowaandikiwa wafadhili yatakapotolewa tutawajulisha wale waliofanikiwa kupata ufadhili huu.
Kama tulivyoeleza kwenye mtandao wetu
www.hlssf.org; wazazi wa watoto wanafunzi wanaotarajiwa kuingia vyuo vikuu next years wanatakiwa kuielewa HLSSF kwa upana wake na kujiunga na programu yake ya HLSSF EDUCATION INSURANCE SYSTEM ambayo itawasaidia watoto wengi zaidi kupata ufadhili wa elimu ya juu kwa miaka ijayo.
LAST BUT NOT LEAST; I URGE YOU PEOPLE TO STOP TALKING AND WRITTING TOO MUCH ON ISSUES OF WHICH YOU ARE NOT CERTAIN".WISH YOU ALL THE BEST.
IT'S ME
RESPICIUS KAMUHABWA,
DIRECTOR GENERAL - HLSSF
+255 765 420 512/717 488 745.