Ukweli na usemwe: Chemistry ya Diamond na Harmonize haijapata mpinzani

Umeshamaliza kuandika kitanda cha mama dangote apo madale
 
Binafsi kama mpenzi wa muziki najiskia vibaya saana kuona kijana ameachana na WCB....

Combination yao ilikuwa nzuri saana.
 
wengi naona mnamshambulia mtoa mada pasi kujibu hoja yake,yaweza kua hamjamuelewa au hamjui mziki,ngoja mimi nimchallange kasema hadi sasa hajaona mtu wa kubreak down chemistry ya Chibu na Harmonize je anasemaje kuhusu wimbo wa show me harmo x mavoko?
 
Hoja zako zina logic,ngoja niseme kwa nini ngoma wakiwa domo na konde zinakua moto ni kwamba 1.Wote wanafanana kwenye utunzi 2.Mond ni role model wa Harmo 3.Mond kamfundisha na kumkuza kimuziki Harmo 4.Harmo ni Diamond kwa kila kitu so kwa mantiki hiyo hao watu wakikaa pamoja wanajuliana kwa kila.idara so ni simple kufanya kitu kitam....natamani mavoko na harmo wafanye kitu ili tupate ile "show me" nyingine.
 
pamoja sana,je unajua wimbo wa show me ulikoanzia? ukinijibu hili nami nakupa fact ya huo wimbo
 
Always nawaambiaga watu wa humu Diamond is another Ruge anacheza na akili za matahira.

Mtaji wa Simba ni ujinga wa watanzania wengi they make a damn profit yani picha linachezwa ni kubwa kuliko
 
Kwa hyo albam iliyotoka Jana ni hits ,
πŸ˜΅πŸ˜›πŸ˜΅πŸ˜€ uzuri mda huwa haudanganyi , Ila Kwa uzinduz huo kijana amepumua kidog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…