joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
We mwenyewe mmoja wapo.Sasa Diamond mwenyewe kapost Album ya Harmonize hawa bendera fata upepo waliokuwa wanamshambulia konde boy sijui wataficha wapi sura zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuondolee unyau wako hapa...sisi tuna enjoy the album we endelea kutesekaNimeiskiliza album yote ya Harmonize kusema ukweli kwangu mimi binafsi nyimbo nilizozielewa ni Bedroom (licha ya vionjo vya beat kufanana na Teamo wa Ray), Good, na Mpaka Kesho ila nilichogundua nyimbo zote alizoshirikisha wasanii wengine ni za kawaida sana na haziwezi kuwa hit ukitofautisha na zile ambazo amewahi kumshirikisha Diamond - Bado, Kainama na Kwangaru.
hapa ndipo nashawishika kusema bado hajatokea msanii wa kubeat down chemistry ya Diamond na Harmonize.
Achaneni nae huyo ana MATATIZO YAKE.Malaika ile na Morgan Heritage ,ule mkwaju hatari.
Niaje mzee bab uko poa? adimu sana jukwaaniTuondolee unyau wako hapa...sisi tuna enjoy the album we endelea kuteseka
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa huyo Ni boya Sana , yaan ni kila-za wa standard gaugeWe mwenyewe mmoja wapo.
View attachment 1389498
Waunde kundi la watu wawili anataka...kimsingi maana yake ni kwamba ngoma nzuri za MMAKONDE ni alizomshirikisha Mondi tu...UWONGO.Watu mnaufinyu wa kufikiri asa mleta uzi wataka kila nyimbo domo ashirikishwe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi mbona kabla ya bongofleva tumeskiza sana za kizungu na tumeimba sana
Safi mbona kabla ya bongofleva tumeskiza sana za kizungu na tumeimba sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndo maana haijaimbwa kizunguHakuna ubaya...
Ila style anayoimba kwa swahili ndiyo zinanoga vizuri...
Embu ibadilishe nyimbo ya Uno kwa kizungu...
Cc: mahondaw
Mimi tena ndo nibadilishe?..duh huu unyanyasaji wa kijinsiaHakuna ubaya...
Ila style anayoimba kwa swahili ndiyo zinanoga vizuri...
Embu ibadilishe nyimbo ya Uno kwa kizungu...
Cc: mahondaw
Hii Album yote ni🔥🔥🔥Nimeiskiliza album yote ya Harmonize kusema ukweli kwangu mimi binafsi nyimbo nilizozielewa ni Bedroom (licha ya vionjo vya beat kufanana na Teamo wa Ray), Good, na Mpaka Kesho ila nilichogundua nyimbo zote alizoshirikisha wasanii wengine ni za kawaida sana na haziwezi kuwa hit ukitofautisha na zile ambazo amewahi kumshirikisha Diamond - Bado, Kainama na Kwangaru.
hapa ndipo nashawishika kusema bado hajatokea msanii wa kubeat down chemistry ya Diamond na Harmonize.
Mmeamia kwa konde sasa... So kiba itakuwaje?Hapa umedhihirisha kuwa una nongwa imekukaba kwenye koo.
Aisee huyu Mmakonde amejua kuwanyoosha msiompenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha