Ukweli na usemwe: Chemistry ya Diamond na Harmonize haijapata mpinzani

Sasa Diamond mwenyewe kapost Album ya Harmonize hawa bendera fata upepo waliokuwa wanamshambulia konde boy sijui wataficha wapi sura zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
We mwenyewe mmoja wapo.
2338793_Screenshot_20200315-213424.png
 
Nimeiskiliza album yote ya Harmonize kusema ukweli kwangu mimi binafsi nyimbo nilizozielewa ni Bedroom (licha ya vionjo vya beat kufanana na Teamo wa Ray), Good, na Mpaka Kesho ila nilichogundua nyimbo zote alizoshirikisha wasanii wengine ni za kawaida sana na haziwezi kuwa hit ukitofautisha na zile ambazo amewahi kumshirikisha Diamond - Bado, Kainama na Kwangaru.

hapa ndipo nashawishika kusema bado hajatokea msanii wa kubeat down chemistry ya Diamond na Harmonize.

Tuondolee unyau wako hapa...sisi tuna enjoy the album we endelea kuteseka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeiskiliza album yote ya Harmonize kusema ukweli kwangu mimi binafsi nyimbo nilizozielewa ni Bedroom (licha ya vionjo vya beat kufanana na Teamo wa Ray), Good, na Mpaka Kesho ila nilichogundua nyimbo zote alizoshirikisha wasanii wengine ni za kawaida sana na haziwezi kuwa hit ukitofautisha na zile ambazo amewahi kumshirikisha Diamond - Bado, Kainama na Kwangaru.

hapa ndipo nashawishika kusema bado hajatokea msanii wa kubeat down chemistry ya Diamond na Harmonize.

Hii Album yote ni🔥🔥🔥

Mpaka kesho on reapeat🙌
 
Back
Top Bottom