Ukweli na usemwe, simba msimu huu nafasi ya tatu kwenye ligi inawahusu


[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wakizembea watashuka daraja kabisa🤣🤣🤣
 
Kwa lawama hizi walizoanza mapema hakika wana hali Tete hata nafasi ya tatu umewapendelea..

Nyie Utopolo kaeni kimya subirini tena mbeleko nyingine CL mkavurunde tena kama kawaida yenu hatua za awali kabisa
 
Njia pekee ya Utopolo kuchukua kombe ni kuliiba.

Majungu, fitina, Rushwa na ushirikina mnaofanya hazitawasaidia. Jitahidini mliibe tu.
 
MSIMU LIOPITA MPAKA MZUNGUKO WA KWANZA UNAKWISHA UTO MLIKUA MNAONGOZA KILICHOTOKEA NADHANI MNAKUMBUKA VYEMA

SASA MKAE MTULIE SIMBA HII TUNACHUKUA TENA
MAPEMA TU
 
Kwani walipata 🔴🔴card wawili?
 
Utopolo mmeanza maneno ya kwenye bao,Ligi hata mechi tatu hazijakamilika mmeanza porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…