Ukweli na usemwe, simba msimu huu nafasi ya tatu kwenye ligi inawahusu

Ukweli na usemwe, simba msimu huu nafasi ya tatu kwenye ligi inawahusu

*NAJUA MNAJUA, LAKINI ACHA NIWAKUMBUSHE.

HIVI MNAJUA KAMA KIDATO CHA NNE WANAENDA KUFANYA MITIHANI YAO YA MWISHO MWEZI UJAO WAKIWA NA KUMBUKUMBU YA KUTOSHUHUDIA YANGA AKIWA BINGWA WA LIGI KUU KWA MIAKA YOTE TANGU WAMEINGIA SEKONDARI.

INASIKITISHA SANA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makolo tangu mechi ya kigoma na yanga hawawezi kushinda mpaka refa afanye mazingira ya kuwatoa wapinzani kwenye mchezo kwa kutoa kadi nyekundu, Makolo hawaamini kama timu yao Haina ubora tena wamebaki ni watu wa malalamiko.
Niwambie tu enyi makolokolo a.k.a mbumbumbu fc kuwa kama dodma fc wasingepata red card basi jana kingeumana na pamoja na refa kuwabeba tena mkiwa 11 na wenzenu wakiwa 9 mkaambulia goli Moja tu, hiyo ni kwa Makolo wote.sasa imebaki ni kujifariji eti mnakamiwa, jengeni Timu lenu bovu maana kila timu itashinda mechi zake.
Na wakizembea watashuka daraja kabisa🤣🤣🤣
 
Kwa lawama hizi walizoanza mapema hakika wana hali Tete hata nafasi ya tatu umewapendelea..

Nyie Utopolo kaeni kimya subirini tena mbeleko nyingine CL mkavurunde tena kama kawaida yenu hatua za awali kabisa
 
Njia pekee ya Utopolo kuchukua kombe ni kuliiba.

Majungu, fitina, Rushwa na ushirikina mnaofanya hazitawasaidia. Jitahidini mliibe tu.
 
MSIMU LIOPITA MPAKA MZUNGUKO WA KWANZA UNAKWISHA UTO MLIKUA MNAONGOZA KILICHOTOKEA NADHANI MNAKUMBUKA VYEMA

SASA MKAE MTULIE SIMBA HII TUNACHUKUA TENA
MAPEMA TU
 
Makolo tangu mechi ya kigoma na yanga hawawezi kushinda mpaka refa afanye mazingira ya kuwatoa wapinzani kwenye mchezo kwa kutoa kadi nyekundu, Makolo hawaamini kama timu yao Haina ubora tena wamebaki ni watu wa malalamiko.
Niwambie tu enyi makolokolo a.k.a mbumbumbu fc kuwa kama dodma fc wasingepata red card basi jana kingeumana na pamoja na refa kuwabeba tena mkiwa 11 na wenzenu wakiwa 9 mkaambulia goli Moja tu, hiyo ni kwa Makolo wote.sasa imebaki ni kujifariji eti mnakamiwa, jengeni Timu lenu bovu maana kila timu itashinda mechi zake.
Kwani walipata 🔴🔴card wawili?
 
Back
Top Bottom