Ukweli ni kua kwa mara ya kwanza, Dola na CCM ndio wamepata upinzani wa kweli

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Wakuu, Toka Uhuru, japo majaribio Kadhaa ya kumpindua Nyerere yalitokea, baada ya ujio wa Vyama vingi , CCM ilikua imezoea kua na Upinzani Uchwara tu, unaahidiwa kugombea Urais, ukikosa, wanakuteua U-RC.

Wakati mwingine unamwagiwa Pesa tu basi.

Kwa Ufupi hapakuwahi kutokea UPINZANI unaoitaka Nchi kwelikweli.

Sasa safari hii, Wameingia Cha kike , Msione Ile nguvu ya kuhakikisha LISSU sio Mwenyekiti, haikua ni nguvu ya ilimradi , CCM iliielewa Kwa uchache Ugumu alonao LISSU , Uelewa wake na Akili yake , walijua ni MTU asonunuliwa .

Kinachowashangaza sana CCM, hawakujiandaa namna ya Kupambana na LISSU ,na wanashangaa zaidi Hatua alofikia LISSU , walijua LISSU ni wakukaza kaza kidogo tu .
 
Na wakiendeleza huo uhayawani,tayari dunia inao kikaangoni,kilichobakia ni kuwasha tu kiberiti.
 
Tangu awamu ya mwinyi CCM ilikua na watu wazito ndani ya vyama pinzani ndio maana hawakutaka kabisa mgombea binafsi sababu wasingeweza kumcontral, hivyo walikua wanang'ata na kupuliza wakijua kabisa hivyo vyama ni project zao..

Safari hii wamekutana na jabali la siasa lisilonunulika hata likibaki lenyewe linawaka tu mithili ya jua la saa 7.

ukitaka kujua ninachomaanisha subiri muda ndio utakua mwalimu mzuri...
 
Huku mitaani ccm wameanza kugawa hela ili kujinusuru na anguko kubwa linalo kuja.No Reform No Election
 
Wakuu, Toka Uhuru, japo majaribio Kadhaa ya kumpindua Nyerere yalitokea, baada ya ujio wa Vyama vingi , CCM ilikua imezoea kua na Upinzani Uchwara tu, unaahidiwa kugombea Urais, ukikosa, wanakuteua U-RC.

Wakati mwingine unamwagiwa Pesa tu basi.

Kwa Ufupi hapakuwahi kutokea UPINZANI unaoitaka Nchi kwelikweli.

Sasa safari hii, Wameingia Cha kike , Msione Ile nguvu ya kuhakikisha LISSU sio Mwenyekiti, haikua ni nguvu ya ilimradi , CCM iliielewa Kwa uchache Ugumu alonao LISSU , Uelewa wake na Akili yake , walijua ni MTU asonunuliwa .

Kinachowashangaza sana CCM, hawakujiandaa namna ya Kupambana na LISSU ,na wanashangaa zaidi Hatua alofikia LISSU , walijua LISSU ni wakukaza kaza kidogo tu .
ama kwa hakika mfa maji hutapatapa :putinWalk:
 
Umewaza mbaali
 
Nyerere alifahamu agenda ya vyama vingi alijua CCM itakuja kufa na kushindwa kama ujamaa ulivyoshindwa.
Na Kwa kulijua Hilo, CCM na Genge lake la Dola, wakawa wanahakikisha Tanzania Haina Upinzani unaoitaka kuchukua Dola.

Kwa hali ya Sasa , ni mpuuzi tu ndo atapinga kua ACT sio Tawi la CCM.
 
Ukiona mtu ni ccm ujue ajue yupo kimaslahi na sio uzalendo na utaifa.

Ndiyo maana wako tayali kuua au kufanya uhayawani ili kulinda uovu wao.

Hawaoni aibu kuuza mali za uuma, raslimali za taifa letu ili tu waenjoy maisha wao na familia zao.

huko sisimu pameoza kianzia juu hadi mwenyekiti wa nyumba kumi. Ni vile tu watanzania ni waoga hiki chama kingekuwa kishaondolewa madarakani mapema.

Lissu akikaza atakuja kutawala hili Taifa but all in all Mungu atusimamie kwa hili. Tunachokihitaji ni ustawi bora wa maisha kwa watanzania wote.

Kwani kuna hasara gani watanzania wote tukiwa na maisha mazuri? Wasomi wote wakipata ajira ili kutoa huduma kwa watanzania wenzao?

NB: viongozi wetu wakiacha ubifsi hakika watanzania tutaishi maisha marefu sana maana hata kurogana kutaisha.

Umaskini ni mbaya jamani. Ni ugonjwa hatari kuliko ugonjwa wowote.😥😥😥.
 
Hawawezi kujua Cha kufanya, Wakimuachia LISSU moto upo palepale, wakimshikilia moto ni uleule

Wanaua watu ,wanaibuka wengine .

Sasa wameamua kwenye viongozi wa dini
Wakisimama ni nchale waki inama ni nchale.... hawana pa kutokea this time .
 
Wakuu, Toka Uhuru, japo majaribio Kadhaa ya kumpindua Nyerere yalitokea, baada ya ujio wa Vyama vingi , CCM ilikua imezoea kua na Upinzani Uchwara tu, unaahidiwa kugombea Urais, ukikosa, wanakuteua U-RC.

Wakati mwingine unamwagiwa Pesa tu basi.

Kwa Ufupi hapakuwahi kutokea UPINZANI unaoitaka Nchi kwelikweli.

Sasa safari hii, Wameingia Cha kike , Msione Ile nguvu ya kuhakikisha LISSU sio Mwenyekiti, haikua ni nguvu ya ilimradi , CCM iliielewa Kwa uchache Ugumu alonao LISSU , Uelewa wake na Akili yake , walijua ni MTU asonunuliwa .

Kinachowashangaza sana CCM, hawakujiandaa namna ya Kupambana na LISSU ,na wanashangaa zaidi Hatua alofikia LISSU , walijua LISSU ni wakukaza kaza kidogo tu .
Mponzani wa kweli anayeogopa Uchaguzi? Basi sawa.
 
Utani utani tu kamuangusha Mwenyekiti wake aliyekuwa amekimiliki chama kwa 99%
Na sasa anataka kuuangusha mbuyu mwingine. Na wakiendelea kuleta dharau zao na kejeli, huyu jamaa atakuwa Rais ajaye wa Tanganyika huru.
 
Back
Top Bottom