Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Na wakiendeleza huo uhayawani,tayari dunia inao kikaangoni,kilichobakia ni kuwasha tu kiberiti.Wakuu, Toka Uhuru, japo majaribio Kadhaa ya kumpindua Nyerere yalitokea, baada ya ujio wa Vyama vingi , CCM ilikua imezoea kua na Upinzani Uchwara tu, unaahidiwa kugombea Urais, ukikosa, wanakuteua U-RC.
Wakati mwingine unamwagiwa Pesa tu basi.
Kwa Ufupi hapakuwahi kutokea UPINZANI unaoitaka Nchi kwelikweli.
Sasa safari hii, Wameingia Cha kike , Msione Ile nguvu ya kuhakikisha LISSU sio Mwenyekiti, haikua ni nguvu ya ilimradi , CCM iliielewa Kwa uchache Ugumu alonao LISSU , Uelewa wake na Akili yake , walijua ni MTU asonunuliwa .
Kinachowashangaza sana CCM, hawakujiandaa namna ya Kupambana na LISSU ,na wanashangaa zaidi Hatua alofikia LISSU , walijua LISSU ni wakukaza kaza kidogo tu .
ama kwa hakika mfa maji hutapatapaWakuu, Toka Uhuru, japo majaribio Kadhaa ya kumpindua Nyerere yalitokea, baada ya ujio wa Vyama vingi , CCM ilikua imezoea kua na Upinzani Uchwara tu, unaahidiwa kugombea Urais, ukikosa, wanakuteua U-RC.
Wakati mwingine unamwagiwa Pesa tu basi.
Kwa Ufupi hapakuwahi kutokea UPINZANI unaoitaka Nchi kwelikweli.
Sasa safari hii, Wameingia Cha kike , Msione Ile nguvu ya kuhakikisha LISSU sio Mwenyekiti, haikua ni nguvu ya ilimradi , CCM iliielewa Kwa uchache Ugumu alonao LISSU , Uelewa wake na Akili yake , walijua ni MTU asonunuliwa .
Kinachowashangaza sana CCM, hawakujiandaa namna ya Kupambana na LISSU ,na wanashangaa zaidi Hatua alofikia LISSU , walijua LISSU ni wakukaza kaza kidogo tu .
Kabisa mkuu. Zama za zidumu fikra za mwenyekiti zimepitwa na wakati.Na wakiendeleza huo uhayawani,tayari dunia inao kikaangoni,kilichobakia ni kuwasha tu kiberiti.
Umewaza mbaaliWakuu, Toka Uhuru, japo majaribio Kadhaa ya kumpindua Nyerere yalitokea, baada ya ujio wa Vyama vingi , CCM ilikua imezoea kua na Upinzani Uchwara tu, unaahidiwa kugombea Urais, ukikosa, wanakuteua U-RC.
Wakati mwingine unamwagiwa Pesa tu basi.
Kwa Ufupi hapakuwahi kutokea UPINZANI unaoitaka Nchi kwelikweli.
Sasa safari hii, Wameingia Cha kike , Msione Ile nguvu ya kuhakikisha LISSU sio Mwenyekiti, haikua ni nguvu ya ilimradi , CCM iliielewa Kwa uchache Ugumu alonao LISSU , Uelewa wake na Akili yake , walijua ni MTU asonunuliwa .
Kinachowashangaza sana CCM, hawakujiandaa namna ya Kupambana na LISSU ,na wanashangaa zaidi Hatua alofikia LISSU , walijua LISSU ni wakukaza kaza kidogo tu .
Na Kwa kulijua Hilo, CCM na Genge lake la Dola, wakawa wanahakikisha Tanzania Haina Upinzani unaoitaka kuchukua Dola.Nyerere alifahamu agenda ya vyama vingi alijua CCM itakuja kufa na kushindwa kama ujamaa ulivyoshindwa.
Hawawezi kujua Cha kufanya, Wakimuachia LISSU moto upo palepale, wakimshikilia moto ni uleuleHawaelewi ni kitu gani wanapaswa kufanya kwa hiki kinachoendelea,, kiufupi wako dilemma π
Wakisimama ni nchale waki inama ni nchale.... hawana pa kutokea this time .Hawawezi kujua Cha kufanya, Wakimuachia LISSU moto upo palepale, wakimshikilia moto ni uleule
Wanaua watu ,wanaibuka wengine .
Sasa wameamua kwenye viongozi wa dini
Mponzani wa kweli anayeogopa Uchaguzi? Basi sawa.Wakuu, Toka Uhuru, japo majaribio Kadhaa ya kumpindua Nyerere yalitokea, baada ya ujio wa Vyama vingi , CCM ilikua imezoea kua na Upinzani Uchwara tu, unaahidiwa kugombea Urais, ukikosa, wanakuteua U-RC.
Wakati mwingine unamwagiwa Pesa tu basi.
Kwa Ufupi hapakuwahi kutokea UPINZANI unaoitaka Nchi kwelikweli.
Sasa safari hii, Wameingia Cha kike , Msione Ile nguvu ya kuhakikisha LISSU sio Mwenyekiti, haikua ni nguvu ya ilimradi , CCM iliielewa Kwa uchache Ugumu alonao LISSU , Uelewa wake na Akili yake , walijua ni MTU asonunuliwa .
Kinachowashangaza sana CCM, hawakujiandaa namna ya Kupambana na LISSU ,na wanashangaa zaidi Hatua alofikia LISSU , walijua LISSU ni wakukaza kaza kidogo tu .
Ccm watatapa tapa sana lakini mwisho ndio umefika sasaama kwa hakika mfa maji hutapatapa
Utani utani tu kamuangusha Mwenyekiti wake aliyekuwa amekimiliki chama kwa 99%Wakuu, Toka Uhuru, japo majaribio Kadhaa ya kumpindua Nyerere yalitokea, baada ya ujio wa Vyama vingi , CCM ilikua imezoea kua na Upinzani Uchwara tu, unaahidiwa kugombea Urais, ukikosa, wanakuteua U-RC.