johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mahakamani kupata haki labda kwa kesi za wizi wa kuku tena ni raia kapuku dhidi ya raia kapuku.Na kwakuwa mnayajua haya, sijui kwanini huwa mnaenda mahakamani!
Hiki sio kitu cha kujivunia reshuffling ya katiba ni muhim san! NB: kwa wenye akili tuu!!Anayemlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo wengine wanabaki kuwa wanenguaji tu kwenye burudani
Bajeti ya Bunge iko ofisi ya Waziri mkuu kama unabisha angalia nani huwa anapanga tarehe za mikutano ya Bunge
Bajeti ya Mahakama iko Wizara ya Katiba na Sheria
Ndio Shujaa Magufuli akasema Mhimili ni mmoja tu tena umejichimbia chini sana
Jumaa Mubarak!
Magufuli aliweka wazi nadharia hii siku alipojibu swali la Pasco kuwa kuna mhimili mmoja umejichimbia chini sana na hata hiyo mihimili mingine miwili inautegemea mhimili uliojichimbia kujiendesha. Na nadharia hii inapata uhalali kutokana na ubovu wa Katika yetu inayompa Rais madaraka ya umungu mtu.Anayemlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo wengine wanabaki kuwa wanenguaji tu kwenye burudani
Bajeti ya Bunge iko ofisi ya Waziri mkuu kama unabisha angalia nani huwa anapanga tarehe za mikutano ya Bunge
Bajeti ya Mahakama iko Wizara ya Katiba na Sheria
Ndio Shujaa Magufuli akasema Mhimili ni mmoja tu tena umejichimbia chini sana
Jumaa Mubarak!
Watu wanaenda mahakamani ili kuweka rekodi kuwa pamoja na udhalimu wa mfumo uliopo wapo waliouona na kuupinga,ipo siku mambo yatabadilika hivyo tutakuwa na mahali pa kuanziaNa kwakuwa mnayajua haya, sijui kwanini huwa mnaenda mahakamani!