Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazembe je?
Hivi wewe mpenzi wa soka hujui kuwa Horoya FC ni washiriki wa Africa Super League na Simba ndio washiriki pekee katika Afrika Mashariki? Any way najua umefikisha ujumbe ulioutaka kwa jirani zako wa Kariakoo.Mimi nikiwa shabiki wa damu wa Horoya Football Club nakiri hadharani kuwa hapa hakuna timu. Japo tupo klabu bingwa lakini klabu yetu imejichokea sana, hatuna wachezaji wowote wa maana wanaojua hata kupiga pasi mbili tatu, tumejaza wachezaji warefu wasiojua kucheza mpira.
Niwaambie tu Simba kuwa kutufunga sisi goli 7 kusiwafanye wakajiona Bora, kwani timu zote zilizoingia robo fainali zipo level moja na Raja kwaio wajiandae nao kupokea mvua ya magoli.
Huyo ni shabiki wa Horoya hata avatar yake inaonesha, kashasema wao wanatimu mbovu, kwann umpinge?Hivi wewe mpenzi wa soka hujui kuwa Horoya FC ni washiriki wa Africa Super League na Simba ndio washiriki pekee katika Afrika Mashariki? Any way najua umefikisha ujumbe ulioutaka kwa jirani zako wa Kariakoo.
Vv
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan ni lazima simba iwateseeeee??Hebu kapigie kelele huko huko mochwari, sisi hatuna shidaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]