ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kwenye sekta ya habari labda Masanja hajafanya sana, lakini sote tukikumbuka enzi ya ze comedy tutakumbuka Masanja ndo alikuwa msoma habari mkubwa na alivutia mamilioni ya watanzania kuliko Maulid ama Hando ambavyo wamewahi kufanya Kwa wakati wote.
Masanja kwenye magazeti akichanganya na utaalamu wake wa kuigiza anavutia sana kuliko hao wazee waliooenda wasafi.
Kwanza hao wazee ukiacha Maulid, Wana uraibu wa pombe na sigara tofauti na Masanja ambaye hatumii hayo mavitu.
Kiuhalisia Masanja anaenda kuwapoteza kabisa wazee wale wawili