Ukweli ni kuwa Masanja ana uzoefu na mkali kuliko Maulid na Hando

Ukweli ni kuwa Masanja ana uzoefu na mkali kuliko Maulid na Hando

Kwenye sekta ya habari labda Masanja hajafanya sana, lakini sote tukikumbuka enzi ya ze comedy tutakumbuka Masanja ndos alikuwa msoma habari mkubwa na alivutia mamilioni ya watanzania kuliko maulid ama hando ambavyo wamewahi kufanya Kwa wakati wote.

Masanja kwenye magazeti akichanganya na utaalamu wake wa kuigiza anavutia sana kuliko hao wazee waliooenda wasafi.

Kwanza hao wazee ukiacha maulid , Wana uraibu wa pombe na sigara tofauti na Masanja ambaye hatumii hayo mavitu.

Kiuhalisia Masanja anaenda kuwapoteza kabisa wazee wale wawili
Yaaan jamaa anachekesha Sana na enjoy Sana kumsikiliza
 
Ushabiki kitu kibaya sana Maulid Baraka mjukuu wa Kitenge kwa umahili wake wa utangazaji toka akiwa ITV mpaka leo uje kumfananisha na Masanja Mkandamizaji hii si dhalau?

Hata kama baadhi yetu tunamchukia Mauliud lakini ukweli utabaki palepale Kitenge ni mtangazaji bora
 
Back
Top Bottom