ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Duh Masanja tenaSawa masanja tumekusikia mkuu.
Toka kwenye comedy hadi uchungaji🤔ni Tanzania pekee nakutana na hii combo 🤣🤣Huyu si ni mchungaji?
Acha ujinga nyoko weweNgoja wakusikie walamba matako
Mkuu kujipa promo jf sio dhambi.Duh Masanja tena
Kumbe "wa kaliua" upo JF 😂😂😂Acha ujinga nyoko wewe
Mbona nchi hii ina watu wa hovyo sana?Kwenye sekta ya habari labda Masanja hajafanya sana, lakini sote tukikumbuka enzi ya ze comedy tutakumbuka Masanja ndos alikuwa msoma habari mkubwa na alivutia mamilioni ya watanzania kuliko maulid ama hando ambavyo wamewahi kufanya Kwa wakati wote.
Masanja kwenye magazeti akichanganya na utaalamu wake wa kuigiza anavutia sana kuliko hao wazee waliooenda wasafi.
Kwanza hao wazee ukiacha maulid , Wana uraibu wa pombe na sigara tofauti na Masanja ambaye hatumii hayo mavitu.
Kiuhalisia Masanja anaenda kuwapoteza kabisa wazee wale wawili
Kuna makomedi wanakuwa hadi viongozi wa nchiToka kwenye comedy hadi uchungaji🤔ni Tanzania pekee nakutana na hii combo 🤣🤣
Huku sasa ndio kuchanganyikiwaKwenye sekta ya habari labda Masanja hajafanya sana, lakini sote tukikumbuka enzi ya ze comedy tutakumbuka Masanja ndos alikuwa msoma habari mkubwa na alivutia mamilioni ya watanzania kuliko maulid ama hando ambavyo wamewahi kufanya Kwa wakati wote.
Masanja kwenye magazeti akichanganya na utaalamu wake wa kuigiza anavutia sana kuliko hao wazee waliooenda wasafi.
Kwanza hao wazee ukiacha maulid , Wana uraibu wa pombe na sigara tofauti na Masanja ambaye hatumii hayo mavitu.
Kiuhalisia Masanja anaenda kuwapoteza kabisa wazee wale wawili
Acha ujinga nyoko wewe