Ukweli ni kuwa Masanja ana uzoefu na mkali kuliko Maulid na Hando

Yaaan jamaa anachekesha Sana na enjoy Sana kumsikiliza
 
Ushabiki kitu kibaya sana Maulid Baraka mjukuu wa Kitenge kwa umahili wake wa utangazaji toka akiwa ITV mpaka leo uje kumfananisha na Masanja Mkandamizaji hii si dhalau?

Hata kama baadhi yetu tunamchukia Mauliud lakini ukweli utabaki palepale Kitenge ni mtangazaji bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…