Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Alaf kitu unatakiwa kujua walim ndio wana pik pik na ndio sehem kubwa Hao boda boda upata ajira za mikataba hukoKuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.
Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Acha kuwadharauCCM imetengeneza mazingira ya walimu kudharauliwa hadi na ma jobless
Hawawez mzidi bodaboda hata iwejeUko sahihi lakn kuna maticha wanakunja mpunga mrefu tu
Sio rahisi million 2 ya kununua bodaboda ticha atainyea wpAlaf kitu unatakiwa kujua walim ndio wana pik pik na ndio sehem kubwa Hao boda boda upata ajira za mikataba huko
Ahera pia unaenda chapu chapu tumezika wana wangu sana ndio hata wa ndege tumewazika ila boda is too risky ela yake ni chunguu...walimu wanapoponea ni job security na mikopo..hapo wanajenga na wanadrive kwenye chombo unachoweza kuegemeza mgongo ukiwa safari huko boda wakiongoza mimba kwenye ndoa za watuKuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.
Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Utafikir ka comment mtoto wa chekechea.. When you talk about risk , risk its every where,Mmoja ana tafta pesheni yake haraka kabla ajawa kilema kama sio kukata moto
Yaani hawa watoto sijuwi uwaambie nini ili waelewe hilo hawalijui kabisaAlaf kitu unatakiwa kujua walim ndio wana pik pik na ndio sehem kubwa Hao boda boda upata ajira za mikataba huko
Me nakukataza mkuu la uniambie ni mwalimu wa aina gani unayemzngumzia weweHawawez mzidi bodaboda hata iweje
Tunataja pesa sio riskAhera pia unaenda chapu chapu tumezika wana wangu sana ndio hata wa ndege tumewazika ila boda is too risky ela yake ni chunguu...walimu wanapoponea ni job security na mikopo..hapo wanajenga na wanadrive kwenye chombo unachoweza kuegemeza mgongo ukiwa safari huko boda wakiongoza mimba kwenye ndoa za watu
Ujinga ume wajaaYaani hawa watoto sijuwi uwaambie nini ili waelewe hilo hawalijui kabisa
Bora umenisaidia kujibu,hajui madhara ya chaki huyu dogoUtafikir ka comment mtoto wa chekechea.. When you talk about risk , risk its every where,