Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Wote walalahoi tu yaani ukiangalia nchi hii watu ambao wanapata kipato sustainable na cha kumuwezesha maisha bora haizidi asilimia 15% ,trust me .Kuna watu wana ajira ila hawana tofauti na vibarua tu
Khabisa
 
Mambo siyo marahisi hivyo
 
Katika bodaboda elfu Moja ni bodaboda wasiozidi kumi ndo unaweza Sema wanamzidi kipato mwalimu.
Tena hao bodaboda kumi,watakuwa wanafanya kazi ya ubodaboda kama extra baada ya kutoka kwenye kazi zao za kudumu
 
Tatizo watu wanaongea tu kama wale motivational speaker wa kulima kwenye makaratasi
 

hizi story ndio zinafanua ccm wajipige kifua kwamba kupitia bodaboda wamewawezesha vijana kujikwamua kimaisha.

50k per day[emoji1787][emoji1787]manyokwoo.
 
Hesabu za kwenye madaftari ni tofauti sana na uhalisia kwenye field.Mkipanda pikipiki au boda muwe mnajenga urafiki na kuwadodosa kuhusu kipato chao
 
Kwa hiyo?! Unamtunzia familia wewe? Unamsomeshea watoto? Unamvisha?? Hiyo laki nne ni yake, kama ni mateso ni yake.... Yanakukera vipi hayo?? Endelea na huyo boda boda kwa vile anakutunzia mke na bintiyo!!
 
Kwa hiyo?! Unamtunzia familia wewe? Unamsomeshea watoto? Unamvisha?? Hiyo laki nne ni yake, kama ni mateso ni yake.... Yanakukera vipi hayo?? Endelea na huyo boda boda kwa vile anakutunzia mke na bintiyo!!
Kwenda zako [emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…