Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Kuna boda boda namdaii elf 60 mwezi wa pilii huuuu mpaka tumefikishana kwenye Uongozi wa Kijiweni kwakee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna boda boda namdaii elf 60 mwezi wa pilii huuuu mpaka tumefikishana kwenye Uongozi wa Kijiweni kwakee

Sent using Jamii Forums mobile app
Na sio kwamba hana anaweza kuwa nayo ila asitake kukulipa....Mimi kuna bodaboda alinikopa 50000 mwezi wa 6 akaahidi baada ya wiki analipa, matokeo yake mpaka mwezi wa 9 ananipiga kalenda. Ikabidi nimsemee kwa mwenzie mbabe wao wa kijiwe ( wote marafiki zangu) siku hiyohiyo alivyodaiwa akalipa 40000 hiyo 10k nikaachana nayo.
Hao watu hela wanazo sana ila nidhamu nazo ndio wanakosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna boda boda namdaii elf 60 mwezi wa pilii huuuu mpaka tumefikishana kwenye Uongozi wa Kijiweni kwakee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwingine ni boda pia alikuwa best yangu vibaya mno akawa anakula kwa bili ofisini ilipofika muda wa kulipa akakata na mguu, akahama kula na urafiki ukafa kabisa toka mwaka jana. Sio kwamba hana hela anayo ila hajisikii tuu kulipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa mmoja nilimpa boda yangu mpya azungushe kiukweli alianza poa sana ila baadae akaanza kuwapa day workers mara inarudi taa imepasuliwa mara hiki kimehribika nikaichukua mpak leo jamaa ni boda hana lolote napishana naye tu takribani miaka mitano sasa hola.

Japo sio mwl ila mtoa mada ni wale wanafunzi walioferi sasa anapiga hesabu ya miaka aliyosoma plus viboko alivyokula na bado katoka hola so lawama na chuki zake zinaenda kwa walimu wake badala ya serikali iliyotunga sera mbovu za kielimu. Walimu wao wanatekeleza sera tu ila hawahusiki na mafanikio yako ya moja kwa moja.
 
mfano mimi, huwa na save 30k, nafanya kaz siku 6 kwa week.. Niambieni kwa hesabu hiyo, mwalim ananipita au nampita..?

30k.. ni uhakika ,
 
mfano mimi, huwa na save 30k, nafanya kaz siku 6 kwa week.. Niambieni kwa hesabu hiyo, mwalim ananipita au nampita..?

30k.. ni uhakika ,
Hapo ni walimu watatu wakijichanga ndowatakufikia
 
Jiheshimu bwege wewe, mm Nina degree ya sheria na ni wakili pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…