Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #641
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wenyewe wanasema tatizo lao chupi…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wenyewe wanasema tatizo lao chupi…
Extremely IdiotChizi wewe
Idiot kbsHujui chochote
Kuna boda boda namdaii elf 60 mwezi wa pilii huuuu mpaka tumefikishana kwenye Uongozi wa Kijiweni kwakeeUnazungumzia boda boda wa wapi aisee?
Kama ni hawa wa kitaani kwangu wanaopata elfu 10, 18, 9, 25, 12,16 ,7 wakubiri misimu ya matukio/sikukuu wapate 40 hadi 60 ndio wafurahi basi hapo unajitekenya mwenyewe na kujichekesha!
KUMBUKA: Hapo anapambania apate mafuta na pesa ya boss wake mimi mwalimu mmiliki wa boda boda tufanye moja tu, hesabu ya salio analobaki nalo dereva najua unajua mwenyewe!
Sasa unamshitakia Nani, kutokulipwa pesa haina maana Hana pesaKuna boda boda namdaii elf 60 mwezi wa pilii huuuu mpaka tumefikishana kwenye Uongozi wa Kijiweni kwakee
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sio kwamba hana anaweza kuwa nayo ila asitake kukulipa....Mimi kuna bodaboda alinikopa 50000 mwezi wa 6 akaahidi baada ya wiki analipa, matokeo yake mpaka mwezi wa 9 ananipiga kalenda. Ikabidi nimsemee kwa mwenzie mbabe wao wa kijiwe ( wote marafiki zangu) siku hiyohiyo alivyodaiwa akalipa 40000 hiyo 10k nikaachana nayo.Kuna boda boda namdaii elf 60 mwezi wa pilii huuuu mpaka tumefikishana kwenye Uongozi wa Kijiweni kwakee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwingine ni boda pia alikuwa best yangu vibaya mno akawa anakula kwa bili ofisini ilipofika muda wa kulipa akakata na mguu, akahama kula na urafiki ukafa kabisa toka mwaka jana. Sio kwamba hana hela anayo ila hajisikii tuu kulipa.Kuna boda boda namdaii elf 60 mwezi wa pilii huuuu mpaka tumefikishana kwenye Uongozi wa Kijiweni kwakee
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazijua salary scale za walimu?mfano mimi, huwa na save 30k, nafanya kaz siku 6 kwa week.. Niambieni kwa hesabu hiyo, mwalim ananipita au nampita..?
30k.. ni uhakika ,
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji112][emoji112]Waalimu hamna hela za kuonga mnaishia kutuharbia watoto wetu wa kike
Mzee una chuki binafs na walimu[emoji16][emoji16]Waalimu hamna hela za kuonga mnaishia kutuharbia watoto wetu wa kike
Acha kumtisha, ticha anapokea laki TatuUnazijua salary scale za walimu?
Hapo ni walimu watatu wakijichanga ndowatakufikiamfano mimi, huwa na save 30k, nafanya kaz siku 6 kwa week.. Niambieni kwa hesabu hiyo, mwalim ananipita au nampita..?
30k.. ni uhakika ,
MaviUsikalili Kuna walimu wanalipwa 1M+
Jiheshimu bwege wewe, mm Nina degree ya sheria na ni wakili piaKuna jamaa mmoja nilimpa boda yangu mpya azungushe kiukweli alianza poa sana ila baadae akaanza kuwapa day workers mara inarudi taa imepasuliwa mara hiki kimehribika nikaichukua mpak leo jamaa ni boda hana lolote napishana naye tu takribani miaka mitano sasa hola.
Japo sio mwl ila mtoa mada ni wale wanafunzi walioferi sasa anapiga hesabu ya miaka aliyosoma plus viboko alivyokula na bado katoka hola so lawama na chuki zake zinaenda kwa walimu wake badala ya serikali iliyotunga sera mbovu za kielimu. Walimu wao wanatekeleza sera tu ila hawahusiki na mafanikio yako ya moja kwa moja.
Yeah huwa inatokeaMwingine ni boda pia alikuwa best yangu vibaya mno akawa anakula kwa bili ofisini ilipofika muda wa kulipa akakata na mguu, akahama kula na urafiki ukafa kabisa toka mwaka jana. Sio kwamba hana hela anayo ila hajisikii tuu kulipa.
Sent using Jamii Forums mobile app