Ukweli ni kwamba Gerson Msigwa ameshushwa Cheo

Kwa hiyo unaona kabisa 2025 ukichukua fomu ya Urais na hata kura zikihesabiwa uwanja wa Taifa unaweza kushindana na Rais Samia na ukashinda? Ikumbukwe Anayewaza hivi hajawahi hata kugombe uenyekiti wa mtaa na hata akigombea anaweza asishinde
Si samia tu , hakuna mwanaccm wa kutushinda kwenye uchaguzi huru
 
Katibu mkuu wa wizara ni cheo kikubwa sana kwenye utumishi wa serikali. Huwezi ukaulinganisha na ukurugenzi wa tasisi au kitengo kama alichokuwa nacho awali.

Katibu Mkuu wa wizara ndiye Accounting Officer (Afisa Masululi) wa wizara, ndiye mwenye vote ya wizara. Ndiye mkuu wa watumishi wote nchini walio chini ya wizara husika, ana mamlaka yakuwa hire and fire. Ndiye mtendaji mkuu wa wizara, cheo chake na kazi yake siyo ya kisiasa kama kile cha Waziri. Kiitifaki yeye ndiye anamfuata waziri na naibu waziri.
 
Una uhakika na ulichoandika?
 
Mkurugenzi wa Idara yuko chini ya Katibu Mkuu wa wizara. Usemaji wa serikali ni majukumu ya Mkurugenzi huyo wa idara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…