Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
NamaliziaHuu ndio ukweli unaofahamika kila mahali , Mifano ya waliokuwa wana Chadema na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno , hatuna haja ya kuirudia , ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali...
Haya magugu chadema uwa hayaishi ninni? Sasa tutajuaje waliobaki kama siyo magugu. Yani kama mtu kama Halima naye kawa gugu duh! Kila mwaka mnasema magugu magugu yameondoka now CHADEMA iko stronger than ever mara kumbe kuna magugu mabaya zaidi kama hawa walinunuliwa kwa njama kama za MossadWacha Magugu yaende Mkuu...
Ila mkuu mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe.Amesema ukweli mtupu.Wewe ni debe tupu
Ahaa basi tusubiri hiyo tarehe 27 kwenye kamati ya maadili tusikie wataambiwa niniKatiba ya Chadema imeweka wazi kabisa kuhusu adhabu ya wasaliti , maamuzi si yangu ni ya kamati kuu , na wala hayaangalii chochote zaidi ya kuwashughulikia wakosefu bila huruma yoyote , mtu pekee kwenye kundi lile anayeweza kunusurika ni Nusrat .
Magugu yapo na ngano zipoHaya magugu chadema uwa hayaishi ninni? Sasa tutajuaje waliobaki kama siyo magugu. Yani kama mtu kama Halima naye kawa gugu duh! Kila mwaka mnasema magugu magugu yameondoka now CHADEMA iko stronger than ever mara kumbe kuna magugu mabaya zaidi kama hawa walinunuliwa kwa njama kama za Mossad
Kila ikikaribia Uchaguzi ndipo magugu yanaanza kuonekana na baada ya Uchaguzi. kama hawa waliokuwa makamabda wakuaminiwa frontline kabisa wana njaa za namna hii sijui wengine wana njaa kiasi ganiMagugu yapo na ngano zipo
michujo itaendelea mpaka tutakapotoa mfumo huu kandamizi... kama Gedion alianza na watu zaid ya 20 akabaki na Mia tatu tu na akashinda vita....
Tutabaki wachache lakin Mapambano yataendelea ni swala la muda tu
Chama kishajifia hicho, na mkiwakoroga kina zege watawavua nguo hadharani. Ukiona wale watu wametoka vile kwa umoja wao ujue kuna vitu mmewafanyia sio poa. Ruzuku Hoyee, vitu maalum vya mwenyekiti faru John Hoyee.sasa ndio mtaijua chadema