Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Mkuu sikupingi hili la mwaka huu limegusa pabaya...Kila ikikaribia uchaguzi ndipo magugu yanaanza kuonekana na baada ya uchaguzi. kama hawa waliokuwa makamabda wakuaminiwa frontline kabisa wana njaa za namna hii sijui wenigne wana njaa kiasi gani
Hakuna namna wacha waende Tuonyeshe wao sio CHADEMA. CHADEMA ni wananchi..
kuwa mpinzani ni Iman Mapambano yanaendelea