Mkuu sikupingi hili la mwaka huu limegusa pabaya...Kila ikikaribia uchaguzi ndipo magugu yanaanza kuonekana na baada ya uchaguzi. kama hawa waliokuwa makamabda wakuaminiwa frontline kabisa wana njaa za namna hii sijui wenigne wana njaa kiasi gani
Mkuu; wewe una cheo gani huko CHADEMA?Katiba ya Chadema imeweka wazi kabisa kuhusu adhabu ya wasaliti , maamuzi si yangu ni ya kamati kuu , na wala hayaangalii chochote zaidi ya kuwashughulikia wakosefu bila huruma yoyote , mtu pekee kwenye kundi lile anayeweza kunusurika ni Nusrat .
Sasa hapo kutofautisha wenye njaa ndiyo ugumu uliopo. Kumuamini mwanasiasa ukjitoa hasa mwanasiasa mwenyewe wa Tanzania kwakweli ni upunguani. Watu wanapigania matumbo yaoNjaa ni hulka , ni kama kilema cha kuzaliwa , kwahiyo unaweza kuona mtu ana uwezo lakini bado akawa na njaa , lakini ukakuta kapuku hana hiyo njaa na ukashangaa , hii ni kwa vile kapuku huyo hakuzaliwa na hulka hiyo
Mimi nilikuwa ninaipenda sana CHADEMA ya kabla mwaka 2015. Yani nilikuwa naipenda siambiwi kitu. Akili yangu ilirudi kuwa sawa baada ya tukio kubwa walilofanya. Toka siku hiyo mimi ni mchangiaji tu wa mijadara siko CCM siko CHADEMA. Nasifu inapobidi na kuponda inapobidi.Mkuu sikupingi hili la mwaka huu limegusa pabaya...
Hakuna namna wacha waende Tuonyeshe wao sio chadema ..chadema ni wananchi..
kuwa mpinzani ni Iman Mapambano yanaendelea
🤣🤣Iwapo hao walioapa watafukuzwa na CDM basi na mimi kwa mara ya kwanza nitachukua kadi ya uanachama wa CDM!
Afadhali, muizike chadema kwa mikono yenu wenyeweKatiba ya Chadema imeweka wazi kabisa kuhusu adhabu ya wasaliti , maamuzi si yangu ni ya kamati kuu , na wala hayaangalii chochote zaidi ya kuwashughulikia wakosefu bila huruma yoyote , mtu pekee kwenye kundi lile anayeweza kunusurika ni Nusrat .
Lengo ni chama kipate ruzuku waendelee kupiga pesa.🤣🤣
Yaani HALLIMA J.MDEE miongoni mwa inner circle ya CHADEMA "asili' leo hii ndio AFUKUZWE?!!!
Kumbuka yeye ndiye aliyewainspire wanawake wengi waliojiunga CHADEMA haswa MABINTI WA VYUO NA UNIVERSITIES....
Yaani huyu MDEE atimuliwe simply?!!!
There is something HIDDEN by their chairperson ambacho labda hata MNYIKA hakijui ama anaPRETEND kutokijua....Hallima Mdee atakuwa ANAKIJUA....
Ni aibu kwa serikali kushiriki kughushi nyaraka au kuwezesha uhalifu mpaka kuapisha wabunge ambao hawajateuliwa na chama!🤣🤣
Yaani HALLIMA J.MDEE miongoni mwa inner circle ya CHADEMA "asili' leo hii ndio AFUKUZWE?!!!
Kumbuka yeye ndiye aliyewainspire wanawake wengi waliojiunga CHADEMA haswa MABINTI WA VYUO NA UNIVERSITIES....
Yaani huyu MDEE atimuliwe simply?!!!
There is something HIDDEN by their chairperson ambacho labda hata MNYIKA hakijui ama anaPRETEND kutokijua....Hallima Mdee atakuwa ANAKIJUA....
Mkuu hata darasa aliimba huwezi kimbia unachokipenda sanaa unabaki unaumia.... Me Chadema naipenda japo na. makosa yote yanayotokea sijawai kukimbia nipo tu bora niitwe nyumbu maan nimeshazoea na hata kwa ManU yangu kuitwa hivyoMimi nilikuwa ninaipenda sana Chadema ya kabla mwaka 2015. Yani nilikuwa naipenda siambiwi kitu. Akili yangu ilirudi kuwa sawa baada ya tukio kubwa walilofanya. Toka siku hiyo mimi ni mchangiaji tu wa mijadara siko CCM siko CHADEMA. Nasifu inapobidi na kuponda inapobidi.
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali , Mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea .....