Ukweli ni kwamba hakuna mwanaCHADEMA aliyewahi kupambana na CHADEMA na akashinda, wengi wanaishia kudhalilika tu hata kama watapewa vyeo

Unapoteza muda kujiapiza kwenye jambo ambalo hakuna atakayelibadilisha na huko mbeleni mtaanza kutwangana ngumi sio kwa sababu taratibu za kichama zimekiukwa lahasha ni kwa kuwa kwanini fulani ni miongoni mwa walioteuliwa viti maalumu na sio mimi au yule?

The sarcasm will leave you maim to provoke further when the prominent bigwig admits endorsing acceptance of the textual eligibility.

It is wise to fold up rather than radically jstanding akimbo the astray may hit you hard with post mental retardation

The steering of the chess is strategically mapping out the end of the postmortem
 
Hivi wanaodhalilika ni hawa walio Jamii Forums na Twitter wanaobweka na kubwata hovyo na hakuna chochote kinachotokea, au hawa ambao wako pale nje "field" wanasababisha mambo yanatokea, wanakuwa "recognized" na wanafanikisha kile kinachopaswa kwa mujibu wa utaratibu?
 
Dr Slaa hawezi kuongea kwenye kongamano lolote litakalozungumzia democrasia ya Tanzania hata kama kongamano hilo litafanyika chumbani kwake , huyu ndio Slaa uliyemfahamu ?
Kama ambavyo mliobaki hamuwezi kuongelea tena ufisadi
 
Alishafuta ile comment yake aliyosema yeye si mwana chadema na ana kadi ya CCM [emoji38]
 
Mzee utachanganyikiwa bure, chadema maslahi tu hao, toka enzi za kubadili gia angani! Mwamba mwenyewe kasema atawalinda!
 
Mkuu,

Hii twitter inaukweli gani maana inasambaa kama uyoga? Is it verified account and hacked or its contents credible to trust?
 
Kwa m'binyo walioupata cdm toka 2015 na niliyoyaona katika uchaguzi uliopita naamini cdm Ni mpango wa Mungu. Halima na genge lake kamwe hawawezi pindisha mpango huo.
 
Hapa!!! Ni lazima ngumi zichezwe,

Chadema wasipotwangana makonde, wakatambike!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£, duuuuh. Mkuu, utapata wazimu na wanasiasa. Nakuonea huruma.
Mkuu, ukweli ni kuwa anayevuruga cdm, ni viongozi wa juu, isipokuwa katibu.
Kumbuka Mdee, Jackob,Kishoa, Bulaya, Lema,Msigwa, ni timu Mbowe. Viongozi wanajua kinacho endelea.Hapo, mnyika kazungukwa tu.
 
Nimewakanaje Chadema ndugu?? Mimi ni mfuasi na mpenzi kindakindaki wa Chadema na nitabaki kuwa hivi unless otherwise wakengeuke wenyewe. Hadi sasa Tanzania hakuna Chama Chenye Itikadi nzuri na sera Nzuri ambazo zinaweza kuifikisha mbali Tanzania kimaendeleo kama Chadema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…