Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Kumbe huwa hamna huruma kwa wasaliti alafu mnataka serikali iwe na huruma kwa msaliti.Katiba ya CHADEMA imeweka wazi kabisa kuhusu adhabu ya wasaliti , maamuzi si yangu ni ya kamati kuu , na wala hayaangalii chochote zaidi ya kuwashughulikia wakosefu bila huruma yoyote , mtu pekee kwenye kundi lile anayeweza kunusurika ni Nusrat .
Hahahaha... naona stress zimepungua mkuu! Welcome back.!! By the way how about the issue of ICC?Naona Bin Laden kaamua kunisingizia ndugu. Mie naamini itikadi. Kamwe siwezi kuwa shabiki maandazi. Mimi ni mshabiki na mpenzi wa Chadema kutokana na itikadi zake
UziKuhusu nini?
Ukute ana cheo hukoJ
Jamaa ana mikwara na hii ICC utasema ni mzee wa mahakama pale The Hague
Ni kweli kabisa. Nani aliyewai kupambana na Chadema na akaishia pazuri?
Hahahaha... naona stress zimepungua mkuu! Welcome back.!! By the way how about the issue of ICC?
Pole sana mkuu. Mwaka huu ni mbaya sana kwako!Icc wanafanyia kazi maombi yetu ndugu! Just stay tuned mtapewa mrejesho tu!!
Pole sana mkuu. Mwaka huu ni mbaya sana kwako!
Dr Slaa angefanyaje kama hakuweza kuunga mkono kitu ambacho alikiona hakiko sawa hadi leo tunaona madhara yakeDr Slaa hawezi kuongea kwenye kongamano lolote litakalozungumzia democrasia ya Tanzania hata kama kongamano hilo litafanyika chumbani kwake , huyu ndio Slaa uliyemfahamu ?
Sidhani kama Haliima Na Matiko kuwa ni wasaliti.............. Wanaume wa Chadema ndio wenye kinyongoHuu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea...
Wewe ni debe tupu
Kuna kale kadada kako kule twiter kanaitwa ka Hilda eti kanaonesha msimamo kanawaiga kina Maria Sarungi na kigogo huku kana njaa hadi machoni.Ha ha ha ha
Eti kudhalilika
Kwani kunatoboa mwili?
Watu wanakuwa zao na ma v8 full viyoyozi ye anadai kudhalilika....
Kuna kudhalilika zaidi ya kukosa pesa?
Mwanangu wewe umekunywa ya bendera au ndio Mbowe mwenyewe.Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea...
Mnawakana makamanda?Ni kweli kabisa. Nani aliyewai kupambana na Chadema na akaishia pazuri?
Usimsahau technically
Huyu aliwahi kuahidi Magufuli akishinda urais tena yeye anahama nchi. Am sure saizi yuko zake mitaa flani Juba anatafuta uraia South SudanUsimsahau technically
Unasubiri hadi nini kifanyike kuliona hili? Walishakengeuka kitambo basi makamanda mmekunywa maji ya benderaunless otherwise wakengeuke wenyew
Huyu binti ana msimamo naona. Akikereka anaweza kuua chama kwa bidii ile ile aliyotumia kujijenga.🤣🤣
Yaani HALLIMA J.MDEE miongoni mwa inner circle ya CHADEMA "asili' leo hii ndio AFUKUZWE?!!!
Kumbuka yeye ndiye aliyewainspire wanawake wengi waliojiunga CHADEMA haswa MABINTI WA VYUO NA UNIVERSITIES....
Yaani huyu MDEE atimuliwe simply?!!!
There is something HIDDEN by their chairperson ambacho labda hata MNYIKA hakijui ama anaPRETEND kutokijua....Hallima Mdee atakuwa ANAKIJUA....