Ukweli ni kwamba hakuna mwanaCHADEMA aliyewahi kupambana na CHADEMA na akashinda, wengi wanaishia kudhalilika tu hata kama watapewa vyeo

Ukweli ni kwamba hakuna mwanaCHADEMA aliyewahi kupambana na CHADEMA na akashinda, wengi wanaishia kudhalilika tu hata kama watapewa vyeo

Katiba ya CHADEMA imeweka wazi kabisa kuhusu adhabu ya wasaliti , maamuzi si yangu ni ya kamati kuu , na wala hayaangalii chochote zaidi ya kuwashughulikia wakosefu bila huruma yoyote , mtu pekee kwenye kundi lile anayeweza kunusurika ni Nusrat .
Kumbe huwa hamna huruma kwa wasaliti alafu mnataka serikali iwe na huruma kwa msaliti.
 
Naona Bin Laden kaamua kunisingizia ndugu. Mie naamini itikadi. Kamwe siwezi kuwa shabiki maandazi. Mimi ni mshabiki na mpenzi wa Chadema kutokana na itikadi zake
Hahahaha... naona stress zimepungua mkuu! Welcome back.!! By the way how about the issue of ICC?
 
Dr Slaa hawezi kuongea kwenye kongamano lolote litakalozungumzia democrasia ya Tanzania hata kama kongamano hilo litafanyika chumbani kwake , huyu ndio Slaa uliyemfahamu ?
Dr Slaa angefanyaje kama hakuweza kuunga mkono kitu ambacho alikiona hakiko sawa hadi leo tunaona madhara yake
 
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.

Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.

Muda utaongea...
Sidhani kama Haliima Na Matiko kuwa ni wasaliti.............. Wanaume wa Chadema ndio wenye kinyongo
 
Ha ha ha ha

Eti kudhalilika

Kwani kunatoboa mwili?

Watu wanakuwa zao na ma v8 full viyoyozi ye anadai kudhalilika....

Kuna kudhalilika zaidi ya kukosa pesa?
Kuna kale kadada kako kule twiter kanaitwa ka Hilda eti kanaonesha msimamo kanawaiga kina Maria Sarungi na kigogo huku kana njaa hadi machoni.

Msimamo bongo hapa huku una njaa? Acha kina Halima wakajipigie mihela
 
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.

Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.

Muda utaongea...
Mwanangu wewe umekunywa ya bendera au ndio Mbowe mwenyewe.
 
Wabunge 19 wa viti maalum wa chadema ni ajira mpya inaandaliwa baada ya kufukuzwa hao wote.

Hovyo kabisa,walimu,madaktari,wauguzi,askari hali zao ngumu kimaisha halafu wao wanatumia fedha ktk mambo ya kijinga.
 
🤣🤣

Yaani HALLIMA J.MDEE miongoni mwa inner circle ya CHADEMA "asili' leo hii ndio AFUKUZWE?!!!
Kumbuka yeye ndiye aliyewainspire wanawake wengi waliojiunga CHADEMA haswa MABINTI WA VYUO NA UNIVERSITIES....

Yaani huyu MDEE atimuliwe simply?!!!

There is something HIDDEN by their chairperson ambacho labda hata MNYIKA hakijui ama anaPRETEND kutokijua....Hallima Mdee atakuwa ANAKIJUA....
Huyu binti ana msimamo naona. Akikereka anaweza kuua chama kwa bidii ile ile aliyotumia kujijenga.
 
Back
Top Bottom