moto wa kifuu
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 390
- 60
Wewe ni mpiganaji mzuri.Me Nina waunga mkono hao akina mama bila wao chadema ingepoteza zaidi wamekifanya kibakie kuwa chama Kikubwa cha upinzani Tanzania!
Pengine ile ndoto ya kuifuta au kukiondoa kwenye iyo nafasi haikutimia na haita timia hakuna anayeweza kujuwa kesho nini kita tokea kwa upande wa ccm!
Visasi huwa havijengi, vinabomoa.Ni aibu kwa serikali kushiriki kughushi nyaraka au kuwezesha uhalifu mpaka kuapisha wabunge ambao hawajateuliwa na chama!
Hii ni aibu na inaonesha serikali iko desperate kuwa na wabunge wa upinzani!
Lakini kwa hao wasaliti,nasema wafukuzwe wote ili kulinda heshima ya chama!Hakuna ambaye anapaswa kuwa juu ya chama!
Tatizo lenu huwa humnaga kiasi kwenye kuongea, you talk too much mpaka mnapitiliza. Mkuu, erythrocyte umeongea kwa machungu sana, Ila Mh. Tl alikuja kwa dharau sana huku skijua kuwa na back up ya akina Amsterdam, na other Westerns alijua itamsaidia, ila ndo kakigharimu chama.Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea...
Mnyika naye atakuwa gugu tu, time will tellHaya magugu chadema uwa hayaishi ninni? Sasa tutajuaje waliobaki kama siyo magugu. Yani kama mtu kama Halima naye kawa gugu duh! Kila mwaka mnasema magugu magugu yameondoka now CHADEMA iko stronger than ever mara kumbe kuna magugu mabaya zaidi kama hawa walinunuliwa kwa njama kama za Mossad
Yaani kati ya watu walionivunja nguvu zangu ni Halima Mdee, kweli amesahau alivyovunjwa mkono kama mtu anavunja kuni kule kijijini? Ama kweli njaa huondoa akili kichwani! Hivi angepoteza nini kuvumilia miaka hii mitano bila ubunge? Aibu uliyotutia Halima sijui utaifutaje?Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea...
Kwa 90% Chadema inauliwa na keyboard worriors Kama nyie.Sasa ndio mtaijua CHADEMA
Siyo kweliDr Slaa hawezi kuongea kwenye kongamano lolote litakalozungumzia democrasia ya Tanzania hata kama kongamano hilo litafanyika chumbani kwake , huyu ndio Slaa uliyemfahamu ?
Kunakaukweli apo😂😂😁😁😃🤣🤣🤣🤣🤣, duuuuh. Mkuu, utapata wazimu na wanasiasa. Nakuonea huruma.
Mkuu, ukweli ni kuwa anayevuruga cdm, ni viongozi wa juu, isipokuwa katibu.
Kumbuka Mdee, Jackob,Kishoa, Bulaya, Lema,Msigwa, ni timu Mbowe. Viongozi wanajua kinacho endelea.Hapo, mnyika kazungukwa tu.
Upo sahihi na ACT wakijiunga Zanzibar na shetani tuachanane nao kabisaHuu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea...
Lala vizuri amka mapema fanya kazi kwa juhudi na maarifa, hakikisha unawaandalia mazingira mazuri watoto wako kipindi wapo kwenye milki ya kuwaudumia nahitaji muhimu, pumzisha mwili wako kula matunda, penda kusikiliza nyimbo, ongea vizuri na mwenzio mjenge familia Bora, lala Tena usiku asubuh uamke mapema.Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea...
Dr Slaa yupi kamanda?Dr Slaa hawezi kuongea kwenye kongamano lolote litakalozungumzia democrasia ya Tanzania hata kama kongamano hilo litafanyika chumbani kwake , huyu ndio Slaa uliyemfahamu ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usimsahau technically
Tatizo hawa jamaa hawaoni kabisaUnasubiri hadi nini kifanyike kuliona hili? Walishakengeuka kitambo basi makamanda mmekunywa maji ya bendera
Mungu wabariki wabunge wa viti maalum wa Chadema wakiongozwa na Halima MdeeHuu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea...
Wameruhusiwa kwenda CCMKupambana na CDM ni kujichosha tu, hawa kina mama waacheni waende huko CCM wakamtumikia Ndugai ambaye kwanza hakuchaguliwa - sisi tunasonga mbele ...alutaaa.