Ukweli ni kwamba hakuna mwanaCHADEMA aliyewahi kupambana na CHADEMA na akashinda, wengi wanaishia kudhalilika tu hata kama watapewa vyeo

Me Nina waunga mkono hao akina mama bila wao chadema ingepoteza zaidi wamekifanya kibakie kuwa chama Kikubwa cha upinzani Tanzania!
Pengine ile ndoto ya kuifuta au kukiondoa kwenye iyo nafasi haikutimia na haita timia hakuna anayeweza kujuwa kesho nini kita tokea kwa upande wa ccm!
Wewe ni mpiganaji mzuri.
 
Ni aibu kwa serikali kushiriki kughushi nyaraka au kuwezesha uhalifu mpaka kuapisha wabunge ambao hawajateuliwa na chama!
Hii ni aibu na inaonesha serikali iko desperate kuwa na wabunge wa upinzani!
Lakini kwa hao wasaliti,nasema wafukuzwe wote ili kulinda heshima ya chama!Hakuna ambaye anapaswa kuwa juu ya chama!
Visasi huwa havijengi, vinabomoa.
 
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.

Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.

Muda utaongea...
Tatizo lenu huwa humnaga kiasi kwenye kuongea, you talk too much mpaka mnapitiliza. Mkuu, erythrocyte umeongea kwa machungu sana, Ila Mh. Tl alikuja kwa dharau sana huku skijua kuwa na back up ya akina Amsterdam, na other Westerns alijua itamsaidia, ila ndo kakigharimu chama.

Mpambanaji asingewachia jumba bovu, angepambana mpaka anasettle insu zote ndani ya chama ndo anatoka. Yeye anakula miyulo na midola huko, wenzako wanakufa njaa tu huku. Be with them mpaka the end mkuu.

Ni wachache sana wakumbukao wenzao wenye njaa. You got what you deserved, Lowasa ndo alikuwa asset, na siyo Tl.
 
Haya magugu chadema uwa hayaishi ninni? Sasa tutajuaje waliobaki kama siyo magugu. Yani kama mtu kama Halima naye kawa gugu duh! Kila mwaka mnasema magugu magugu yameondoka now CHADEMA iko stronger than ever mara kumbe kuna magugu mabaya zaidi kama hawa walinunuliwa kwa njama kama za Mossad
Mnyika naye atakuwa gugu tu, time will tell
 
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.

Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.

Muda utaongea...
Yaani kati ya watu walionivunja nguvu zangu ni Halima Mdee, kweli amesahau alivyovunjwa mkono kama mtu anavunja kuni kule kijijini? Ama kweli njaa huondoa akili kichwani! Hivi angepoteza nini kuvumilia miaka hii mitano bila ubunge? Aibu uliyotutia Halima sijui utaifutaje?
 
Dr Slaa hawezi kuongea kwenye kongamano lolote litakalozungumzia democrasia ya Tanzania hata kama kongamano hilo litafanyika chumbani kwake , huyu ndio Slaa uliyemfahamu ?
Siyo kweli
😂😂😁😁😃🤣🤣🤣🤣🤣, duuuuh. Mkuu, utapata wazimu na wanasiasa. Nakuonea huruma.
Mkuu, ukweli ni kuwa anayevuruga cdm, ni viongozi wa juu, isipokuwa katibu.
Kumbuka Mdee, Jackob,Kishoa, Bulaya, Lema,Msigwa, ni timu Mbowe. Viongozi wanajua kinacho endelea.Hapo, mnyika kazungukwa tu.
Kunakaukweli apo
 
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.

Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.

Muda utaongea...
Upo sahihi na ACT wakijiunga Zanzibar na shetani tuachanane nao kabisa
 
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.

Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.

Muda utaongea...
Lala vizuri amka mapema fanya kazi kwa juhudi na maarifa, hakikisha unawaandalia mazingira mazuri watoto wako kipindi wapo kwenye milki ya kuwaudumia nahitaji muhimu, pumzisha mwili wako kula matunda, penda kusikiliza nyimbo, ongea vizuri na mwenzio mjenge familia Bora, lala Tena usiku asubuh uamke mapema.

Siasa ya Tanzania ni hatari kwa afya ya akili na maisha yako kwa ujumla halima, ester, na ester saiz n waheshimiwa napesa za awali washasain na mzigo ushaingia kwenye account zao.

Mimi na wewe tupambane kwenye ishu zetu tusaidie familia zetu
 
Dr Slaa hawezi kuongea kwenye kongamano lolote litakalozungumzia democrasia ya Tanzania hata kama kongamano hilo litafanyika chumbani kwake , huyu ndio Slaa uliyemfahamu ?
Dr Slaa yupi kamanda?
Huyu aliyeandika kitabu "NYUMA YA PAZIA"? ndo ashindwe kuongelea topic ya demokrasia?
 
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.

Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.

Muda utaongea...
Mungu wabariki wabunge wa viti maalum wa Chadema wakiongozwa na Halima Mdee
 
Hapo kuna kuzunukana na kubadili hia angani sasa jidanganyeni asiwepo Lisu muone kama kuna chama hapo
 
Kupambana na CDM ni kujichosha tu, hawa kina mama waacheni waende huko CCM wakamtumikia Ndugai ambaye kwanza hakuchaguliwa - sisi tunasonga mbele ...alutaaa.
 
Wameruhusiwa kwenda CCM
 
Back
Top Bottom