KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Yaani hata uoge vipi ka harufu kako katakuwepo tu, wewe huto kasikia, watakasikia watu wa pembeni yako.
Hata ujisugue mwili mzima na limao katakuwepo tu. Ukido, kanahamia na kwa mwenzako, mnatengene kaharufu kenu kengine.
Ukizini na mchepuko ukirudi home, hata uoge vipi, mwenzako atakahisi, hata asipokusema, kuna siku atakwambia kwamba unachepuka.