Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Licha ya Lissu kuomba radhi kwa kile kinachoonekana ni kukubali maridhiano na serikali ya Raisi Samia, ukweli ni kwamba, Lissu amekubali akiwa ni sehemu ya uongozi wa CHADEMA uliofika hayo makubaliano ya kile kinachoitwa 4R.
Lissu alithibitisha kutokuwa muumini wa 4R katika mahojiano na mtangazaji wa ITV, Farhia Middle kwenye kipindi cha "Dakika 45" wiki kama tatu hivi zilizopita ambapo alisema kuwa yeye binafsi alipinga swala la maridhiano akiamini kulikuwa hakuna dhamira ya dhati ya hilo jambo.
Kwahiyo, kwa Lissu kuomba radhi, ni kukubali tu uwajibikaji wa pamoja(collective responsibility).
Nikipata ile clip nitaiweka.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ZL2V3hUw5Hg&pp=ygUZdHVuZHUgbGlzc3UgZGFraWthIDQ1IGl0dg%3D%3D