Ukweli ni kwamba Rais Samia hakuwa pamoja na Hayati Magufuli

Ukweli ni kwamba Rais Samia hakuwa pamoja na Hayati Magufuli

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Unafiki siyo tusi wala neno baya.

Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki.

Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo ulikuwa naye sawa katika utendaji na kosa kubwa alilolifanya ni kutokujiuzulu ili angalau historia ingekuwa upande wake.

Lakini kwa namna anavyofanya sasa kuyapongeza ya JPM kinafiki si haki hata kidogo.

Yeye afanye yake na asijifiche katika uswahili bwana, tumechoka na hadithi zake.
 
Mwendazake alikuwa msaidizi wa Kikwete, tunaomba utuambie kwa alivyokuwa akimponda hadharani na kubadilisha kila kitu, je Mwendazake alikuwa pamoja na Kikwete au alikuwa mnafiki? Watu mjue kwamba ubaya wowote unaoufanya kwa watu, na wewe utafanyiwa ubaya huohuo, hata kwa vizazi vyako. Maisha ya urais ya Mwendazake yalionyesha unafiki mkubwa aliokuwa nao wakati wa Kikwete.
 
The so called Sukuma gang vs Chaga gang.....who wins?!
 
Kama ulkuwa humjui Kigogo2014, na mvujisha taharifa wa serkali ya magu, basi ujue kuwa ndy huyo huyo bibi mvimba macho au muuwaji wa chini chini.

huyo maza ni hatar sana, japo weng mnamchukulia simple, sabbu ya sura yke ya upole&ukimya.

huyo ni zaid ya. Kwa matukio ya chini chini na unafiki

huyo bibi yenu mtakuja kumjua vzr baada ya yey kuachia nchi, na urais kushikwa na mtu mwngne akianza kufukua mafile yake, kma ilivyo tamadun ya hii nchi, kwa wanasiasa kuchafuana na kulipiana visasi.
 
Yani unachoma moto vifaranga bila hata woga? Siezi shangaa maana kama mpaka leo hatujui Azori na bensanane wako wapi kuchoma moto vifaranga jambo dogo kwake.
Magufuri ndo aluchoma au hawavijana wanaoajiliwa na hawatumii akili?
 
Unafiki siyo tusi wala neno baya.

Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki.

Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo ulikuwa naye sawa katika utendaji na kosa kubwa alilolifanya ni kutokujiuzulu ili angalau historia ingekuwa upande wake.

Lakini kwa namna anavyofanya sasa kuyapongeza ya JPM kinafiki si haki hata kidogo.

Yeye afanye yake na asijifiche katika uswahili bwana, tumechoka na hadithi zake.
Unafanania na anayejiita Veronica France
 
Yule alikua anawaponda watangulizi wake laivu. Akadiriki kusema wanawashwa. Akaenda mbali kuwatuma wahuni akina sabaya, hapi, makonda na musiba wawatukane na kuwazodoa hadharani. Mwacheni avune alichopanda na kukipalilia.
 
Back
Top Bottom