Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
una undugu na #Deo #Kisandu aka Don NalimiMbona badoo tulieni View attachment 2027089
Una ushahdi gani na hilo?Ila mkuu kwa nn umebadilisha ID?
Ndiyo raia nambari moojaaa huna njiaunafiki unamuumbua waziwazi...kesho asirudie kauli zke
watu wanamchora tu kwa sasa
Watu wamchore kwakuwa kajitenga na matendo ya kiongozi muovu?unafiki unamuumbua waziwazi...kesho asirudie kauli zke
watu wanamchora tu kwa sasa
Magufuri ndo aluchoma au hawavijana wanaoajiliwa na hawatumii akili?Yani unachoma moto vifaranga bila hata woga? Siezi shangaa maana kama mpaka leo hatujui Azori na bensanane wako wapi kuchoma moto vifaranga jambo dogo kwake.
Unafanania na anayejiita Veronica FranceUnafiki siyo tusi wala neno baya.
Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki.
Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo ulikuwa naye sawa katika utendaji na kosa kubwa alilolifanya ni kutokujiuzulu ili angalau historia ingekuwa upande wake.
Lakini kwa namna anavyofanya sasa kuyapongeza ya JPM kinafiki si haki hata kidogo.
Yeye afanye yake na asijifiche katika uswahili bwana, tumechoka na hadithi zake.
Alishajitenga kutoka hotuba yake ya kwanza na hakumfanya lolote. Ni vyura msiozuia ng'ombe kunywa maji.Kujitenga na JPM ni samaki nje ya maji,ajaribu yetu macho.