Ukweli ni kwamba Rais Samia hakuwa pamoja na Hayati Magufuli

Kujiuzulu sio jambo jepesi tu kuwa sa yoyote unalifanya. Hii ni nchi sio kikoba. Huenda alishajaribu na ikashindikana.
 
Umeona eeee hasa hili la kuchoma vifaranga vya WaKenya yaani kaonesha na ukali kabisa!
 
Kutofautiana katika utendaji kati ya boss na wasaidizi wake kitu cha kawaida. Unaweza kuonyesha difference hiyo hata katika public kwakutumia tone na maneno yasiyokuwa na ukakasi. Mimi simpangii nini cha kuongea lakini ingeleta tofauti kubwa mathalani angeongea;
  • Huko nyuma kulijitokeza baadhi ya changamoto zilizo ondokea kuzorotesha mahusiano na nchi jirani. Serikali ya awamu ya 6 imeyabaini na marekebisho yamefanyika ... badala ya kutamka
  • kuchoma vifaranga ilikuwa ni makosa.
  • maneno ya waziri ni nonsense
Well ,i stand to be corrected hii ni opinion yangu binafsi kwani serikali, chama ni kile kile mabadiliko ni commander- in- chief
 
Tena alimsifia Kikwete kwa safari za nje ya nchi.
 

What goes around............
 
Exactly. Huyo ndo kigogo Ila watu hawakumjua Ila Mimi nilimjua kitambo sana.
 
Naunga mkono hoja kabisa kabisaa..
 
mimi na magufuli ni kitu kimoja
 
Ana miaka 5 ya kujijenga yeye mwenyewe, ila kujijenga kwake nje ya JPM ni kweli, ni sawa na samaki nje ya maji. Time will tell
Ukubali pia, kwa baadhi ya watu wengi, yeye kujishikamanisha na marehemu, inakuwa ni kasoro kubwa sana.

Wiki iliyopita nilikuwa Mwanza, kuna watu walikuwa 8 hivi wakimwongelea marehemu, kuna mengine waliyokuwa wakitamka dhidi ya marehemu hata waliokuwa wanamchukia, hawawezi kutamka. Hata mimi siwezi kuyatamka hapa. Amemaliza safari ya Duniani, kilichobakia ni yeye na Muumba. Lakini kwa ujumla kuna watu walikuwa na chuki zilizopindukia dhidi ya marehemu kutokana na matendo yake marehemu yaliyowaumiza wengi.
 
Exactly. Huyo ndo kigogo Ila watu hawakumjua Ila Mimi nilimjua kitambo sana.
Basi alifanya kazi nzuri sana maama alikwamisha mipango mipvu mingi sana. Ikiwemo ya kuteka watu kuua na kuiba pesa za umma.
 
Umeongea kwa busara kama kiongozi wa eneo flani kuonyesha collective responsibility
 
Rais ni kila kitu katika taasisi ya urais hapa bongo. Kama mama Samia angeachia ngazi wakati huo, JPM angechagua mwingine, lakini mama alivuta subra, sasa amepata nafasi ya kurekebisha yaliyofanyika. Angejiuzulu isingesaidia kitu
 
unafiki unamuumbua waziwazi...kesho asirudie kauli zke

watu wanamchora tu kwa sasa
Wewe huyo mama Jumong anaogopa hata kwenda kuisalimia familia ya Magufuli yaani tokea afriki hajawahi kwenda kuisalimia familia yeye kama yeye iwe Dar au Chato anakuja kwenye ziara zake tu nakuzuga anaondoka! Yaani huyu mama alikuwa mnafiki sana kwa Magufuli!
 
Wengi wapi? Jiongelee mwenyewe!
 
Kesha jifunza kurith ya marehemu, UKATILI dhidi ya wenzake....kesi zinazokula mtaji wa nchi akifidia na tozo
 
Hivi kama una akili timamu utakuwaje pamoja na mtu ambaye;-
1.Anaagiza Mtu apigwe risasi hadharani tena mchana kweupe?
2.Anampoteza kijana kisa kahoji uhalali wa Phd yake ikiwa move ya vyeti feki kaianzisha mwenyewe?
3.Anaenyamazia kimya kundi la teka teka!poteza poteza na Ua ua watu hovyo???
4.Anaetaka kuongeza muhula wa kuongoza kisa akiogopa nongwa toka kwa hao anaowatesa na kuua ndugu zao???
HATA MIMI NINGEISHI NAE KINAFIKI KABISA AISEH!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…