Ukweli ni kwamba Rais Samia hakuwa pamoja na Hayati Magufuli

Hivi kama una akili timamu utakuwaje pamoja na mtu ambaye;-
1.Anaagiza Mtu apigwe risasi hadharani tena mchana kweupe?
2.Anampoteza kijana kisa kahoji uhalali wa Phd yake ikiwa move ya vyeti feki kaianzisha mwenyewe?
3.Anaenyamazia kimya kundi la teka teka!poteza poteza na Ua ua watu hovyo???
4.Anaetaka kuongeza muhula wa kuongoza kisa akiogopa nongwa toka kwa hao anaowatesa na kuua ndugu zao???
HATA MIMI NINGEISHI NAE KINAFIKI KABISA AISEH!!!
 
Hivi kama una akili timamu utakuwaje pamoja na mtu ambaye;-
1.Anaagiza Mtu apigwe risasi hadharani tena mchana kweupe?
2.Anampoteza kijana kisa kahoji uhalali wa Phd yake ikiwa move ya vyeti feki kaianzisha mwenyewe?
3.Anaenyamazia kimya kundi la teka teka!poteza poteza na Ua ua watu hovyo???
4.Anaetaka kuongeza muhula wa kuongoza kisa akiogopa nongwa toka kwa hao anaowatesa na kuua ndugu zao???
HATA MIMI NINGEISHI NAE KINAFIKI KABISA AISEH!!!
 

Naunga mkonyo hoja
 
Ya jpm ni yapi au kama yale ya kuchoma vifaranga, kupiga wapinzani marisasi
 
maneno ya waziri ni nonsense

Huyo waziri mhusika kama ana akili ajue kisha washiwa taa nyekundu!!! Mawaziri huwa wanajisahau kuwa watakaa kwenye wazifa huo milele kumbe hawajui kuwa they serve at the pleasure of Hangaya!!!
 
Mkuu, unaeleweka kwa uliyoeleza hapa; lakini kweli unaweza wewe kujibu swali nikikuuliza hapa?

Ni nani ndani ya CCM ambaye si mnafiki?

Na wala usidhani ninamtetea Samia, la hasha, naandika kukueleza ukweli mtupu kwamba ndani ya CCM hakuna asiyekuwa mnafiki, na kwa bahati mbaya sana tabia hii sasa imeenea kila mahala hata nje ya chama.
WaTanzania kwa ujumla wetu sasa ni watu wanafiki sana. Tunasifu jambo kwa manufaa yetu binafsi mbele ya anayetunufaisha, lakini ukitusikiliza tunavyoongea akiwa huyo mnufaisha wetu hayupo, utadhani kwamba sisi tunayo misimamo imara sana katika mambo tunayoyaamini. Kumbe ni bure kabisa.

Samia siyo kwamba ni mnafiki tu, bali pia ni 'manipulative', sifa ambayo imemfikisha hadi hapo alipofikia.

Na kwa bahati mbaya sana kwetu, hana dira inayomwongoza taifa linapoelekea, na hana uchungu na maisha ya wananchi wa kawaida wa nchi hii.
Hapo sasa ndipo itabidi akili zituingie kichwani. Huenda hili ndilo likawa nafuu yetu kiaina kama tutajitambua.
 
Kweli
 
Kwani nani alikuwa naye? Samia anaamini kwenye itikadi za kiliberali, mwendazake anaamini kwenye primitive communalism 😆😆 sasa unategemea nini?

Pili mama ni familia bora na yule mwingine kakulia shida sasa hapo watakuwa vipi na mitizamo sawa.
 
kafanya baya gani hadi umefikia huko ndugu.mbona sisi tunamwona yuko vizuri.au ulitaka kacheo. maana unaroroma macho yamekutoka
 
Kuna haja ya kubadilisha katiba kuhusu upatikanaji wa VP na madaraka yake awe tu Deputy President

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mama hapangiwi,ukimpangia ndio una haribu kabisaa..
Mama ana chapa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…