Ukweli ni kwamba Rais Samia hakuwa pamoja na Hayati Magufuli

Ana miaka 5 ya kujijenga yeye mwenyewe, ila kujijenga kwake nje ya JPM ni kweli, ni sawa na samaki nje ya maji. Time will tell
Mashabiki wake wanamujaza upepo,wamuulize JPM siku wakitwaliwa,jinsi alivyoponea chupuchupu enzi za Lowassa.
Alishinda kwa mbinde.
 
Tena alimsifia Kikwete kwa safari za nje ya nchi.
Alipoingia Ikulu akabadilika kuliko Kinyonga kwamba alikuwa anaenda sana ulaya kuliko msoga. Aaaagh, muache aendelee na jukumu lake jipya la kuongoza Malaika tu.
 
Hapa Mswahili ni NANI SASA
 
Naam
 
Samia ana akili, hawezi kuwa pamoja na yule asiyejielewa
 
Hata ningekuwa Mimi ndiyo SSH yaani kila kitu cha Yule dictator nitatupilia mbali tena mbali mno mile za kutosha. Yaani nitaambatanaje na mtesaji Yule, mgawa watanzania kwa ukanda na ukabila, mtesaji wa viongozi waandamizi wa Chama, mdhalilishaji, mtesi wa wafanyabiashara, mwizi bila mtutu (voice ya wabunge kadhaa) ya pesa za wafanyabiashara, utekaji usiojulikana, upotevu wa wananchi kadhaa mpaka leo hawajulikani walipo waliompinga, Ile miili ya Ramboni hapa siisemei maana huenda ilikuwa inatokea kuzimu ila toka SSH ameingia madarakami kuzimu wameacha kutuletea maiti katika fukwe za bahari na waliojinyonga kimuujiza, mikopo ya Siri (hapa namezea na maji kabisa maana tulijitapa hakuna mkopo tunajitegemea). Yaani orodha ni ndefu ngoja ninywe kwanza maji.

Ila yapo mazuri alifanya. Nikipata muda nitaandika. Ila yalifunikwa na mabaya😭😭😭😭
 
Muacheni mama apige kazi. Kila zama na kitabu chake
 
Yule alikua anawaponda watangulizi wake laivu. Akadiriki kusema wanawashwa. Akaenda mbali kuwatuma wahuni akina sabaya, hapi, makonda na musiba wawatukane na kuwazodoa hadharani. Mwacheni avune alichopanda na kukipalilia.
Barikiwa mno mkuu. Hakusema hata zuri Moja la waluliomtamgulia. Alinanga hadharani. Alijifajya kila kitu ni yeye na hakuthamini mchango wao. Avune alichopanda. Hakusifu na hatokaa asifiwe. Labda Mashetani wenzake huko kuzimu wamsifu kwa uwakilishi wao mzuri duniani. Full stop. Long Live Her Excellency SSH. None like her.
 
Alivyomtesa mpaka attempt ya kujiuzulu inatosha. Yaani aende huko kufanya nini? Aliteswa vya kutosha. Mwacheni Rais wa Tanzania nzima afanye KAZI yake. Tulikuwa na Rais wa Kanda ya Ziwa pekee na hususan Chato na Ikulu ilihamishia Kule. Tuache tusitapike mengi aisee. Sasa tunaye Rais wa nchi Mkuu.
 
Umegonga penyewe mkuu. Bravo
 
Daaah nyie yaani rais na amiri jeshi mkuu agope familia tena ya marehemu kuwwni seriously kidogo
 
Polisi wa CCM akikosea kupiga lazima...ahahaha
 
Kama mtu anaandika historia yake tangu amepata kazi mpaka anastaafu kweli yangeandikwa mengi

Wengine wana maumivu wanayaachia polepole
 
Kama umechoka si uhame nchi! Mama Samia oyeeeee!
 
Huwajui Wanzanzibari wewe! Anakuchekea kweri kweri na kukupa biriani kumbe kaliwekea sumu! Ushanfahamu!???
 
Kila siku unalamika unechoka, ponda chupa kunywa ufe. Mfuate huyo DIKTETA mnayemuabudu. Rais ni Samia, period
 
Magufuli alikuwa peke yake tu, Hatuwezi kujua ni maneno/matusi gani alikuwa anawatukana wasaidizi wake kwenye vikao au kupitia simu.
Kama tu aliweza sema hadharani atapiga mashangazi wa Mtendaji Mkuu wa Serikali ambaye ni Msaidizi wake, unategemea Magufuli atakuwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…