Ukweli ni kwamba Sadam Hussein hakuwa na Nuclear, Marekani ilimtumia tu kama chambo

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
db0d316886c99ed3530f0cc4ee0f8496.jpg

Moderator ni silaha za maangamizi, sio nuclear

MAREKANI ALIONA AMEFANYIWA DHARAU HADI NYUMBANI KWAKE AKAITAKA VITA KWA NAMNA YOYOTE ILE:
Baada ya milipuko mbali mbali katika balozi zake ikiwemo iliopo Tanzania, baada ya kufanyiwa ukatili sebuleni kwake 2001, USA alitumia nguvu yake kwa namna yoyote ile ili aweze kushawishi congress na washirika wake ili wakawakabli radicals waliopo mashariki ya kati.

Marekani aliona ile ishu ya kufanyiwa ukatili itawapa nguvu na hamas radicals waliopo mataifa ya mashariki ya kati, sasa akataka kwenda kuwasambaratisha kwa namna yoyote ili wasiendeelee kumumiiza kwa namna yoyote ile.

Ilikuja kugundulika sadam alikuwa kweli ni katili lakini hakuwa na nuclear, lakini bush na makamu wake cheney walitaka revenge na ili ku-avenge walitaka na wenyewe wa-act kama hao hao magaidi and the rest was history
 
View attachment 3288721

UMECHELEWA SANA KUGUNDUA HILI. SISI TULILIFAHAMU HILI NADHANI MIAKA HIYO WE MDOGO SANA. KWA SASA SI ISSUE TENA. LINAFAHAMIKA NA HATA WATOTO WADOGO.
 
View attachment 3288721

MAREKANI ALIONA AMEFANYIWA DHARAU HADI NYUMBANI KWAKE AKAITAKA VITA KWA NAMNA YOYOTE ILE:
Baada ya milipuko mbali mbali katika balozi zake ikiwemo iliopo Tanzania, baada ya kufanyiwa ukatili sebuleni kwake 2001, USA alitumia nguvu yake kwa namna yoyote ile ili aweze kushawishi congress na washirika wake ili wakawakabli radicals waliopo mashariki ya kati.

Marekani aliona ile ishu ya kufanyiwa ukatili itawapa nguvu na hamas radicals waliopo mataifa ya mashariki ya kati, sasa akataka kwenda kuwasambaratisha kwa namna yoyote ili wasiendeelee kumumiiza kwa namna yoyote ile.

Ilikuja kugundulika sadam alikuwa kweli ni katili lakini hakuwa na nuclear, lakini bush na makamu wake cheney walitaka revenge na ili ku-avenge walitaka na wenyewe wa-act kama hao hao magaidi and the rest was history
Umeamka tu usingizini bila kusoma uktasari wa vita husika unaanza kuwasingizia Iraq kuwa walipigwa sababu ya Nuclear bomb? rudini shule ili msiwe watu wa kukurupuka tu na kuanza sumbua Jamii.. Pia tambueni mpo JF kwa ma great thinker so mnatakiwa kuwa makini.. Fikra pevu tu humu na sio ujinga ujinga.. Nuclear ya Iraq ilishalipuliwa na Israel kitambo tu 1981 kabla ya Gulf War. cha kushangaza maybe ulkuwa hujazaliwa habari hiyo iliishusha Dunia...

1743417804283.png

Iraq alipigwa kwa kushutumiwa kuwa ana Weapon of mass destruction na haswa biological weapon na poison ambayo alishawahi itumia kuwaua Wakurdish.

Operation Opera (Hebrew: מִבְצָע אוֹפֵּרָה),[1] also known as Operation Babylon,[2] was a surprise airstrike conducted by the Israeli Air Force on 7 June 1981, which destroyed an unfinished Iraqi nuclear reactor located 17 kilometres (11 miles) southeast of Baghdad, Iraq.[3][4][5] The Israeli operation came a year after the Islamic Republic of Iran Air Force had caused minor damage to the same nuclear facility in Operation Scorch Sword, with the damage having been subsequently repaired by French technicians. Operation Opera, and related Israeli government statements following it, established the Begin Doctrine, which explicitly stated the strike was not an anomaly, but instead "a precedent for every future government in Israel". Israel's counter-proliferation preventive strike added another dimension to its existing policy of deliberate ambiguity, as it related to the nuclear weapons capability of other states in the region.[6]

In 1976, Iraq purchased an Osiris-class nuclear reactor from France.[7][8] While Iraq and France maintained that the reactor, named Osirak by the French, was intended for peaceful scientific research,[9] the Israelis viewed the reactor with suspicion, believing it was designed to produce nuclear weapons that could escalate the ongoing Arab–Israeli conflict.[3] On 7 June 1981, a flight of Israeli Air Force F-16A fighter aircraft, with an escort of F-15As, bombed the Osirak reactor deep inside Iraq.[10] Israel called the operation an act of self-defense, saying that the reactor had "less than a month to go" before "it might have become critical."[11] The airstrike reportedly killed ten Iraqi soldiers and one French civilian.[12] The attack took place about three weeks before the 1981 Israeli legislative elections for the Knesset.[13]

At the time of its occurrence, the attack was met with sharp international criticism, including in the United States, and Israel was rebuked by the United Nations Security Council and General Assembly in two separate resolutions.[14][15] Media reactions were also negative: "Israel's sneak attack ... was an act of inexcusable and short-sighted aggression",[16] wrote The New York Times, while the Los Angeles Times called it "state-sponsored terrorism".[14][better source needed] The destruction of Iraq's Osirak reactor has been cited as an example of a preventive strike in contemporary scholarship on international law.[17][18] The efficacy of the attack is debated by historians,[19] who acknowledge that it brought Iraq back from the brink of nuclear capability but drove its weapons program underground and cemented Iraqi President Saddam Hussein's future ambitions for acquiring nuclear weapons.
 
Hivi pilau bado hakikisha una ndizi na pilipili
 
View attachment 3288721

MAREKANI ALIONA AMEFANYIWA DHARAU HADI NYUMBANI KWAKE AKAITAKA VITA KWA NAMNA YOYOTE ILE:
Baada ya milipuko mbali mbali katika balozi zake ikiwemo iliopo Tanzania, baada ya kufanyiwa ukatili sebuleni kwake 2001, USA alitumia nguvu yake kwa namna yoyote ile ili aweze kushawishi congress na washirika wake ili wakawakabli radicals waliopo mashariki ya kati.

Marekani aliona ile ishu ya kufanyiwa ukatili itawapa nguvu na hamas radicals waliopo mataifa ya mashariki ya kati, sasa akataka kwenda kuwasambaratisha kwa namna yoyote ili wasiendeelee kumumiiza kwa namna yoyote ile.

Ilikuja kugundulika sadam alikuwa kweli ni katili lakini hakuwa na nuclear, lakini bush na makamu wake cheney walitaka revenge na ili ku-avenge walitaka na wenyewe wa-act kama hao hao magaidi and the rest was history
Unapotaka kumnyuka kibaka ni lazima umtafutie kisa hata kama cha uongo.Getting rid of the sonovakuku!
 
View attachment 3288721

MAREKANI ALIONA AMEFANYIWA DHARAU HADI NYUMBANI KWAKE AKAITAKA VITA KWA NAMNA YOYOTE ILE:
Baada ya milipuko mbali mbali katika balozi zake ikiwemo iliopo Tanzania, baada ya kufanyiwa ukatili sebuleni kwake 2001, USA alitumia nguvu yake kwa namna yoyote ile ili aweze kushawishi congress na washirika wake ili wakawakabli radicals waliopo mashariki ya kati.

Marekani aliona ile ishu ya kufanyiwa ukatili itawapa nguvu na hamas radicals waliopo mataifa ya mashariki ya kati, sasa akataka kwenda kuwasambaratisha kwa namna yoyote ili wasiendeelee kumumiiza kwa namna yoyote ile.

Ilikuja kugundulika sadam alikuwa kweli ni katili lakini hakuwa na nuclear, lakini bush na makamu wake cheney walitaka revenge na ili ku-avenge walitaka na wenyewe wa-act kama hao hao magaidi and the rest was history
Yaani wewe leo ndo unajua kulikuwa na vita Iraq na us?
 
It was weapons of mass destructions not nuclear, na walijua vizuri sema ilifanywa for economic purposes na ugomvi wao na russia not any stupid reason like revenge wazungu hawanaga akili hizo fupi, ukiona mzungu anahangaika sehemu ujue ni swala la hela nothing else, kama wanavyotaka kuipora greenland na itaporwa tu hakuna namna ⁹
 
HAKIKA, MIMI NIMEANDIKA SILAHA ZA MAANGAMIZI, MODS WAKABADILISHA
 
Back
Top Bottom