Ukweli ni kwamba SAMATTA anajua kutupia (kuvaa vizuri) Kuliko Mabishoo wengi wa BongoFleva

Ukweli ni kwamba SAMATTA anajua kutupia (kuvaa vizuri) Kuliko Mabishoo wengi wa BongoFleva

Traveller X

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2017
Posts
271
Reaction score
305
Nilikua najaribu kumtazama mbwana samatta leo nikagundua jamaa sio kwenye mpira tu hata kwenye mavazi yuko vizuri sana tena kushinda hawa mabishoo wa bongo fleva, Na tena sio mavazi tu hata Gari anayoendesha hakuna msanii mwenye nayo hapa bongo lakini still jamaa ni cool na hana mbwembwe,I respect that.
 
Wanaume wanajua kuvaa bongo ni Jux na Samatta na nguo zinawakaa haswa na kuwapendeza.

Domo tarumbeta kamrithisha hadi mwanae tiffa yaani hata wavae nguo ya bilioni hawapendezi kabisa bora hata mimi nikivaa mtumba wangu wa Ilala nakuwa balaa na nawakamata dada zao

Ninataka kufua nasubiri povu
 
Wewe ni jinsia gani?ulichoandika mwanzo na mwisho vinajikanganya
 
Hakuna mtu ambae akivaa hapendezi, sema watuwengi hawajui wavaenini iliwapendeze.
Inatakiwa kujua unachovaa kulingana nawewejinsi ulivyo, utapendezatu.
Sio kuvaatu kwasababu umemuona flanikavaa.
Ndio mana kunawatu spacial ambao kaziyao nikuwaambia watuwavaenini iliwapendeze.
 
Samatta analipwa kwa euro ambayo € 1/= ni sawa na TSH 2616/= so ye ananunua origal made for europe ndug zang china moja kwa moja.

Robo tatu ya maisha yake kwa mwaka ni ulaya so hata manunuz anafanya ulaya so ...........
 
UVAAJI HUO SIO ULAYA KAANZA TANGU YUPO CONGO
 
Back
Top Bottom