Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
Wawe na mkwanja wao mkuu ila kama mimi hapa mweusi na sina mpunga wala situpii utaniona makinikia tuWanaume weusi wana mvuto wa pekee.
Cc, L......ce baby.
Wewe ni jinsia gani?ulichoandika mwanzo na mwisho vinajikanganyaWanaume wanajua kuvaa bongo ni Jux na Samatta na nguo zinawakaa haswa na kuwapendeza.
Domo tarumbeta kamrithisha hadi mwanae tiffa yaani hata wavae nguo ya bilioni hawapendezi kabisa bora hata mimi nikivaa mtumba wangu wa Ilala nakuwa balaa na nawakamata dada zao
Ninataka kufua nasubiri povu
Wewe ni jinsia gani?ulichoandika mwanzo na mwisho vinajikanganya
Nimecheka kwa herufi kubwa. Mkuu pambana utapataWawe na mkwanja wao mkuu ila kama mimi hapa mweusi na sina mpunga wala situpii utaniona makinikia tu
nenda umtembelee Genk-BelgiumKweli jamani samatta yuko vizuri
kweli na hana majivuno ya kijinga demu wake naye ni mkimyaana hela na yuko ulaya, hakumbani na mavumbi yetu huku wala mioshi ya wachoma mihogo na wakaanga samaki
UVAAJI HUO SIO ULAYA KAANZA TANGU YUPO CONGOSamatta analipwa kwa euro ambayo € 1/= ni sawa na TSH 2616/= so ye ananunua origal made for europe ndug zang china moja kwa moja.
Robo tatu ya maisha yake kwa mwaka ni ulaya so hata manunuz anafanya ulaya so ...........