Ukweli ni kwamba SAMATTA anajua kutupia (kuvaa vizuri) Kuliko Mabishoo wengi wa BongoFleva

Unadhani ulaya kaenda kutazama majumba na kutupia magori tu!!
 
Ana

ana demu mpaka motto lakini kimya.wangekuwa hawa dada wetu wa shilawadu kama hamisa na mama yake wote sasa wangekuwa wapo GENK-UBELGIJI kumpeleka mtoto kudai hela za matumizi milioni tano tano kila mwezi

hahaha kwelii aise....jamaa yuko lowkey sn yn cmjui kbs uyo demu wala mwanae
 
Timu kibakuli nayo imo humu ?
 

Ukishatanguliza chuki kwa mtu hata avae nguo za dhahabu tupu ni kazi bure. Kamwe hatapendeza machoni mwako.
 
Yupo kawaida sana huyo

Kwenye kuvaa vizuri hayupo kabisa.

Halafu hata kuongea hajui na kithembe chake.
 
Sijui mleta thread wetu atakuwa ni jinsi ya ME au KE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…