Wewe ndiyo bwege kabisa kwani yeye wa wapi?Nilikua najaribu kumtazama mbwana samatta leo nikagundua jamaa sio kwenye mpira tu hata kwenye mavazi yuko vizuri sana tena kushinda hawa mabishoo wa bongo fleva, Na tena sio mavazi tu hata Gari anayoendesha hakuna msanii mwenye nayo hapa bongo lakini still jamaa ni cool na hana mbwembwe,I respect that.
Ni Ghent, siyo Genknenda umtembelee Genk-Belgium
Ghent tenaNi Ghent, siyo Genk
haaaaaaa ni GENK mkuu huu mji naujua Sana nimekaa hadi miaka miwili ila wanaongea kifaransaNi Ghent, siyo Genk
Mjomba pale Genk ndio ugali wake unapatikana. Timu ya taifa ukiumia hamna chochote utakachopewa zaidi ya pole. Usiombe mchezaji aumie timu ya taifa huku kwetu Africa, lazma afulie. Wenzetu wanaheshimu mikataba endapo utaumia kwenye vilabu vyao.Akiwa ulaya anacheza hata katikati ya kundi la Ng'ombe ila akiwa kwenye timu ya Taifa anacheza kwa uoga sana, haka katabia kake huwa kanakera sana.
Sorry mkuu... Nafikiri nilikuwa nimekariri Ghent kwa sababu zangu binafsi. Nimeishi hiyo nchi pia na ndio mara ya kwanza naisikia Genkhaaaaaaa ni GENK mkuu huu mji naujua Sana nimekaa hadi miaka miwili ila wanaongea kifaransa
Sorry mkuu... Nafikiri nilikuwa nimekariri Ghent kwa sababu zangu binafsi. Nimeishi hiyo nchi pia na ndio mara ya kwanza naisikia Genk
Chura haipo.mkuuHilo guu lako unaonekana mashallah ...chura hakosi hapo Nina uhakika
Nina experience NA mambo haya ....kwahiyo sina shaka NA ninachoongeaChura haipo.mkuu
SanaWanaume weusi wana mvuto wa pekee.
Cc, L......ce baby.
Guu Hilo Mnatupa Majaribu SanaNimecheka kwa herufi kubwa. Mkuu pambana utapata
Tafuta pesa kwanza mkuu vingine vyoote mungu atakusogezea mlangoni.ahaaa kidingGuu Hilo Mnatupa Majaribu Sana
Teh Teh Hivi Adamu Alitumia Pesa Kumpata Hawa?Tafuta pesa kwanza mkuu vingine vyoote mungu atakusogezea mlangoni.ahaaa kiding
Alimuhonga embe akamgegedaTeh Teh Hivi Adamu Alitumia Pesa Kumpata Hawa?
We jamaa unaweza kuwa unaongoza kwa chuki duniani...recently umetoka unamponda underground wa bongo fleva...apply chuo cha wachawi mkuuYupo kawaida sana huyo
Kwenye kuvaa vizuri hayupo kabisa.
Halafu hata kuongea hajui na kithembe chake.
Hawa Ndio Alimhonga Adam Sasa Sijui Kama Nawewe UtajiwezaAlimuhonga embe akamgegeda
Ahaaa hata siweziHawa Ndio Alimhonga Adam Sasa Sijui Kama Nawewe Utajiweza
Ukiishi Congo kuvaa utajua tu!UVAAJI HUO SIO ULAYA KAANZA TANGU YUPO CONGO