The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Sikilizeni watawala huko waliko wana bet hawajui kesho itakuwaje. Siri kubwa ni kwamba you can't defeat the mass.
Nguvu ya umma ni hatari sana. Ikumbukwe M029 waliua na kuuwawa sana. Swali ni je wataua tena? Jibu ni Hapana wamechanyikiwa mkandamizo ni mkubwa sana. .
Kwa sasa wamebaki kuwasia wazee na watoto maana hawana challenge hawawezi kufanya press na GenZ wenye degree zao mfukoni huku wanaendesha bodaboda wanajua kilichoua ziara za Nanuka.