binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Nimejipata 🤣🤣🤣 (natania mkuu)Binti kiziwi kuanzia mwaka jana December umekuwa na koment flani hivi mpya mpya hahaaaaa
Joke lakini
Ila umeobserve jambo kwa usahihi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejipata 🤣🤣🤣 (natania mkuu)Binti kiziwi kuanzia mwaka jana December umekuwa na koment flani hivi mpya mpya hahaaaaa
Joke lakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah kayatimbaa.Alitaka ajue bikra anakuwaje? Bahati mbaya kakutana na za kupikwa sio OG [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umehakikisha walikuwa naye kabla yako waliishia kumsugua kisimi pekee?Habari,
Bila kupoteza muda ni kwamba, mimi ni kijana wa miaka 34 sasa. Nilikuwa nchi moja Afrika katika kutafuta maisha kwa muda kidogo, sasa nikaona umri umekwenda itabidi nirudi nyumbani niangalie uwezekano wa kuwa na familia.
Sasa nilipofika home nikawa na wakati mgumu kumpata mwanamke atakaenifaa kuwa mke, katika pitapita zangu mtandaoni nikakutana na picha zilizopostiwa na rafiki yangu (classmate) nikamuona akiwa na mabinti wawili, nikamchagua mmoja kati yao, lakini rafiki yangu akanambia hajatulia ikabidi anishauri nimchukue huyu mwingine.
Akanipigia pande Mtoto kaingia 18 akajaa,tukaanza mahusiano na first time tukaonana live. Kiukweli katika maisha yangu sikuwahi kutongozewa mwanamke au kupigiwa chapuo na mtu, nilikuwa nikimpenda namfuatilia mwenyewe mpaka nampata. Huyu ndio alikuwa wakwanza kupigiwa chapuo.
Sasa alipokuja sikuridhishwa na muonekano wake kabisa ila nikashawishika tu sababu nilimkuta akiwa bikra na nikafanikiwa kuitoa kwakupewa masharti kama nisipomuoa atanilaani mpaka mwisho.
Kiukweli bikra alikuwa nayo ila alishawahi kuwa na mahusiano kadhaa na walishiriki kila kitu, walichoshindwa ni kuitoa bikra tu, kiufupi mwili wake utadhani alishazaa zao kadhaa.
KITU KINGINE AMBACHO KIMEPELEKEA KUPOTEZA HISIA NAE KABISA NA KUTAMANI KUMUACHA ni alipokuwa na mahusiano na walionitangulia walikuwa wakishiriki tendo kwa kumsugua kinembe mpaka anakojoa, sasa ni kama ameathirika hawezi kuridhika na tendo mpaka nimsugue kinembe ndio akojoe tena anachukua muda mrefu sana mpaka nachoka.
Ananipenda, ananiheshimu na kunijali sana ila mi sina hisia nae kabisa na najiuliza huko mbeleni itakuwaje endapo nitamuoa mtu ambae sina hisia nae?
Ushauri please.